Katika vitu vyote bora hata gari yenyewe tu niipaki lkn sio kupakia hao abiria wa bukubuku aisee!We tia wese la buku 2 utege raumu yako ubungo mataa hapo ubebe abiria wa mbezi kimara buku buku
Ile facelift ni kiboko aisee gari haichoshi machoni mzee 😅😅😅 hasa ikiwa nyeusi na iwe na kile kisaiti mirror cha usawa wa taa kwenye kona ya fender la upande kushoto inanoga sana japo sielewi kina kazi gani ila kinanogesha sana muonekano wa Land Cruiser 200Aise nimetoka huko youtube, huyu mnyama mpya japo nimekuwa dissapointed kushusha engine size ya v6 ya 3.5 lakini ina mambo mazuri mengi ukiachana na bodi la kiduwanzi ambalo naamini tumepigwa kwa huo muonekano wa box...
Ni gari ambazo ni hybrid yaani injini yake ni conventional yaani ina motor ya umeme inayosukumwa na hybrid battery ili kusaidia iwe na ulaji mdogo wa mafuta as they tend to use the engine for accelerating, climbing hills au pale nguvu ya ziada inapohitajika, huyo jamaa anayeiongelea hio volvo x90 kwa vyovyote ina mfumo huo haiwezi kuzalisha hp kubwa hivyo kwa cc 2000 kwa ukubwa wa hilo body.Mnavyosema umeme mwingi mnamaanisha nini?
Kabisa mkuu. Ndio maana hizi 300 series nyingi zilizoonekana ni left hand na karibia 90% zina elekea uarabuni.Wale washenz gari wanafanyaga pre-order kiwandani yani kabla ya official release wao washapelekewa hawanaga muda wa kusubiri
Production ya Prado za LC300 inategemewa kuanza 2023 na yenyewe itakuwa ya moto sana kuzidi kaka yake LC 150Hatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series!
Wasifu wake:
Imeboreshwa kwa kupewa engine ya V6 Twin Turbo yenye uwezo wa kuzalisha 400HP tofauti na ile V8 kubwa ya 5.7L iliokuwa inazalisha 381HP! Hii ni ili kuongeza ufanisi yani fuel efficiency na ku maximize power!
Driving assistance package kama lane departure! Camera ya 360 sorround na mazaga zaga mengine!
Interior redesign kwenye upande wa infotainment napo wamefanya modifications!
Some pictures
Nasikia hata bei itakuwa juu kwa Usd 30,000-40,000/- kutokana na technology aliyoweka Toyota kwenye toleo la LC300Aise nimetoka huko youtube, huyu mnyama mpya japo nimekuwa dissapointed kushusha engine size ya v6 ya 3.5 lakini ina mambo mazuri mengi ukiachana na bodi la kiduwanzi ambalo naamini tumepigwa kwa huo muonekano wa box.
Hii ya sasa horse power 400 sio haba pia ni jepesi kwa almost kilo 200 ya ile ya zamani, kwa hiyo tutegemee litakuwa fasta 0-100kph.
Automatic transmission itakuwa na gia 10 aise. Kwa hapa naona itakuwa smooth na lazma mafuta itakuwa kama inanusa kiasi chake
Yote tisa, kumi ni kwamba bado 200 series ni mashine tamu sana hasa ile facelift ya 2016, designer anywe soda ntalipia.
Ila ile ya diesel lc 150 kale kamluzi kake ka turbo ni burudani tosha na mwendo upo!Production ya Prado za LC300 inategemewa kuanza 2023 na yenyewe itakuwa ya moto sana kuzidi kaka yake LC 150
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app