Toyota lancruiser prado inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota lancruiser prado inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Jul 1, 2009.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,037
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  1997 model, milango mitano, automatic. 1kz diezel engine, 2980cc, 60333km, bei usd 25500
   

  Attached Files:

 2. c

  cradibility Member

  #2
  Jul 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nahitaji nina elfu mbili
   
 3. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kuna walakini kwenye hizo km
  12yrs 60333km
  samahani lakini kitomai mbona kila kitu unachoouza ni bei mbaya sana
   
 4. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mkuu check PM
   
 5. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Gari ya 1995 inauzwa dola 25500? mhhhh
   
 6. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tanzania magari hayauziki saizi na nyumba hazipangiki...kwasababu ya upuuuzi huuu wa kuweka bei za EPA!!
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hii ni superprofit Kitomai
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hata mpya (kwa maana ya used haijatumika hapa TZ) bei hiyo haifiki, tena kwa hela za madafu! sembuse hii registration ya AMQ?
   
  Last edited: Jul 2, 2009
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Kabisa mkuu! yaani nimeshangaa kweli!
   
 10. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,037
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  hupo sahihi kwa mtazamo wako
   
 11. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0  Hapana mimi namuunga mkono kuwa yupo sahihi, the car is over expensive. Fungua hapa chini angalia hizo prado bei yake huko japan na unapewa kitu kizuri hakina tatizo kimeshakaguliwa na JAAI,

  http://www.autorec.co.jp/used-cars-list.php?post_category=3&Login=africa3

  User : africa3
  Psw: 860971

  Fungua hiyo web check bei yako sawa na kununua Prado mbili.

  Cost ya kulikomboa hapa Dar max. ni 50% ya uliyonunulia na kulifikisha Dar.

  Mfano kuna hiyo Prado ya 1997 diesel, inauzwa 10.800 USD, sana sana max utalipa USD 5000 kukomboa Dar, which will cost you 15,000USD Only. Sasa nikikomboa nakuuza 18,000 USD sijapata faida?? kwanini niuze 25,000 USD????!!! wizi mtupu Dar
   
 12. C

  Chief JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2009
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Naona hapa umechapia mkuu. Prado ya mwaka 1997 utalipa kodi zifuatazo ambazo ni compound.

  Import Duty = 25%
  VAT = 18%
  Excise Duty (engine > 3,000 c.c) = 10%
  Dumping fee (gari > 10 years) = 20%

  Hii inakupa 94.7% ya CIF value ya gari kama kodi ambayo ni $10,227.60. Jumla ni $22,227.60!!! Angalia utaiacha gari bandarini:)
   
Loading...