Toyota kusitisha uzalishaji wa magari kutokana na marufuku ya kutoka nje mjini Shanghai

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,609
Kampuni ya uzalishaji wa magari ya Toyota imesema itasitisha shughuli za uzalishaji katika viwanda vyake nchini Japan mwezi huu kutokana na marufuku ya kutoka nje kwa #Covid mjini Shanghai.

Hii ni kampuni kubwa ya pili ya magari kutangaza kuwa inaathiriwa na marufuku ya kutoka nje ya Covid-19 nchini Uchina baada ya Tesla kuripotiwa kupunguza uzalishaji katika kiwanda chake cha Shanghai

Mji wa Shanghai umekua muhimu kwa viwanda vya utengenezaji wa magari duniani kutokana na ubora sekta ya viwanda vya chuma iliyo malighafi kuu katika uzalishaji wa magari

......................................................................................

Toyota says it will suspend operations at more production lines at its factories in Japan this month due to the coronavirus lockdown in Shanghai.
The firm says the production halt will come into effect on Monday and stay in place until of end of next week.

It is the latest big car maker to announce that it is being impacted by the Covid-19 measures in China.

Meanwhile, Tesla has reportedly halted most production at its Shanghai plant due to problems with sourcing parts.

"Due to the impact of the semiconductor shortage, we announced our revised production plan for May," Toyota said in a statement.

"However, as a result of the lockdown in Shanghai, China, we have decided to additionally suspend operations of 14 lines at 8 plants in Japan from May 16 (Mon) to May 21 (Sat),"

Source: BBC News
 
... halafu sisi tuna chuma hapo Mchuchuma na Liganga badala ya kutumia fursa kuinua uchumi tumebaki na siasa za maji taka siku zote. Huko China hawajachanja?
 
Namshukuru Put-in Kwa kutuonyesha hakuna lock down, hakuna visa restrictions hakuna uhitaji wa Kadi za chanjo za uviko!
Tuko free tutakufa na chochote. Milipuko na mabomu na risasi zimeua kuliko uviko!
 
... halafu sisi tuna chuma hapo Mchuchuma na Liganga badala ya kutumia fursa kuinua uchumi tumebaki na siasa za maji taka siku zote. Huko China hawajachanja?
We unafikir wangekuja kutengenezea hayo magar hapa kuna mteja.
 
Back
Top Bottom