Toyota IST vs SPACIO

Zakamwamoba

Senior Member
Jul 28, 2016
177
609
Guys kwema?, Aisee nimejiokoteza okoteza kwa miaka kadhaa mwaka huu naona mambo yamekaa sawa kimtindo, Sasa Nataka kausafiri ka kuendea kwenye mishemishe. Nahitaji Ushauri kati ya IST na SPACIO ipi ni mzuri tukiangalia ulaji, wa mafuta, uimara na Muonekano .

Naomba kuwasilisha.
 
Mie naona IST ina muonekano bora na imara zaidi.

Spacio is ugly AF
 
Guys kwema?, Aisee nimejiokoteza okoteza kwa miaka kadhaa mwaka huu naona mambo yamekaa sawa kimtindo, Sasa Nataka kausafiri ka kuendea kwenye mishemishe. Nahitaji Ushauri kati ya IST na SPACIO ipi ni mzuri tukiangalia ulaji, wa mafuta, uimara na Muonekano .

Naomba kuwasilisha.

Spacio ina sura mbaya!

Go for IST... The stylist ride in town!

-Kaveli-
 
Guys kwema?, Aisee nimejiokoteza okoteza kwa miaka kadhaa mwaka huu naona mambo yamekaa sawa kimtindo, Sasa Nataka kausafiri ka kuendea kwenye mishemishe. Nahitaji Ushauri kati ya IST na SPACIO ipi ni mzuri tukiangalia ulaji, wa mafuta, uimara na Muonekano .

Naomba kuwasilisha.
Acha Uzembe yan kijana Mzima unaenda kununua IST?? Halafu unaenda Ukweni unapak IST?
FOOLISH kabisa..

My take: tafuta gar ambayo ipo juu unayoweza kutembea rough road na kwenye lami na bado ikawa na ulaji mzuri wa Mafuta.

Mfano. RAV 4 Kill time kama hii.
1790 cc ipo vizur na ina show Nzuri sana itakusaidia Mishe mishe zako Mjini ukiwa Comfortable..
FB_IMG_1565545867441.jpeg
FB_IMG_1565545965879.jpeg
 
Chukua Spacio ina space kubwa na ulaji wa mafuta unatofautiana kidogo sana na Ist
Guys kwema?, Aisee nimejiokoteza okoteza kwa miaka kadhaa mwaka huu naona mambo yamekaa sawa kimtindo, Sasa Nataka kausafiri ka kuendea kwenye mishemishe. Nahitaji Ushauri kati ya IST na SPACIO ipi ni mzuri tukiangalia ulaji, wa mafuta, uimara na Muonekano .

Naomba kuwasilisha.
 
Acha Uzembe yan kijana Mzima unaenda kununua IST?? Halafu unaenda Ukweni unapak IST?
FOOLISH kabisa..

My take: tafuta gar ambayo ipo juu unayoweza kutembea rough road na kwenye lami na bado ikawa na ulaji mzuri wa Mafuta.

Mfano. RAV 4 Kill time kama hii.
1790 cc ipo vizur na ina show Nzuri sana itakusaidia Mishe mishe zako Mjini ukiwa Comfortable..View attachment 1178697View attachment 1178698
Ushauri mzuri, RAV4 cc 1790 ni chaguo zuri sana. Nadhani hata running costs sio kubwa kivile.
 
ulaji wa mafuta Ist ipo chini pia n imara kiasi ukilinganisha na spacio lkn kimuonekano Spacio nzuri na ina nafasi kubwa pia atleast kidogo ina heshima yake ukilinganisha na ist weng wanaendesha wadada pia yepo yebo mno. Maamizi n yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom