RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,382
- 1,851
Nakuunga mkono šCity cruizer, acha zipigwe dongo zinapngezeka kwa wingi na ni rahisi kuziudumia.
hii gari naikubali ila saresare ndo shida.
Nakuunga mkono šCity cruizer, acha zipigwe dongo zinapngezeka kwa wingi na ni rahisi kuziudumia.
hii gari naikubali ila saresare ndo shida.
Ile model ya pili ni nzuri, lakini haijapendeka kama ile ya kwanza. Binafsi sipendi muonekano wake.Me sipendi tu kale ka dash board kalivyowekwa katikati...
hata ukimpa mama mkwe lifti, anasoma gauge za mafuta, speed na rpm....
Anaona huyu fala nimempa binti yangu halafu mshale wa mafuta umelala kwenye E..
Tatizo pia kabei kake kamechangamka kidogoIle model ya pili ni nzuri, lakini haijapendeka kama ile ya kwanza. Binafsi sipendi muonekano wake.
Pia instrunent cluster wameirudisha kwa dereva na ina features nzuri ila haijapendeka kama ile ya kwanza. Iko too aggressive. Haiongeki aise.
Nimegundua kuendesha baby walker inasababisha inferiority complex
Wanaume wanaomiliki IST wanapenda kuning'niza funguo kiunoni.
Tabia siipendi ile...basi tu
Povu kama lote...Hivi za kwako za V8 huwa unaningāiniza wapi?
Sasa inabidi ziningāinizwe kifuani maana kiunoni wewe hupendi na mfukoni zinaharibu screen za simu.
Mkumbo kitu kibaya sana, siongelei mheshimiwa, lah hasha. Naongelea kudandia ishu, kwa sababu flani kainegatize basi na wewe mule mule
Kwa kweli. Bora ununue Rav4 tu kieleweke.Tatizo pia kabei kake kamechangamka kidogo
Sina V8 ndugu nina gari ndogo tu ya cc 1500Hivi za kwako za V8 huwa unaningāiniza wapi?
Sasa inabidi ziningāinizwe kifuani maana kiunoni wewe hupendi na mfukoni zinaharibu screen za simu.
Mkumbo kitu kibaya sana, siongelei mheshimiwa, lah hasha. Naongelea kudandia ishu, kwa sababu flani kainegatize basi na wewe mule mule
Sina V8 ndugu nina gari ndogo tu ya cc 1500
ila funguo huwa nashika mkononi au naweka mfukoni...
Siyo unatundika funguo za gari, za geti, za mlango na opener kwa pamoja kwenye luksi za suruali..
Mimi sipendi....kama sipendi please isikukere coz hatufanani
Nakutakia mavuno mema
Umewahi kuona watu wenye Rangerover zao wamening'iniza funguo kiunoni...??...hii tabia ni ya wenye IST ndiyo wwnaotusumbua mijini na funguo zao...Hehehee sasa unasema isinikere jinsi usivyopenda huku wewe ukikereka na fungua zinazoningāinia kwenye viuno vya wengine!!?
Kwani wameningāiniza kwenye kiuno chako?
Alafu Madereva wengi wa I.S.T wanapenda Sana league barabaran sielewi TATIZO Lao ni nini.
Nikiwa barabaran huwa nacheka Sana jinsi wanavyohangaika
Mzeee nishajiukiza hili swali mpaka mwisho sijawah pata majibu hawa madereva wa IST wana shida gani aiseee maana mbio zao huwa sio za kawaida
HahahahahaMe sipendi tu kale ka dash board kalivyowekwa katikati...
hata ukimpa mama mkwe lifti, anasoma gauge za mafuta, speed na rpm....
Anaona huyu fala nimempa binti yangu halafu mshale wa mafuta umelala kwenye E..
Mkumbo kitu kibaya sana, kudandia ishu, kwa sababu flani kainegatize basi na wewe mule mule
,Me sipendi tu kale ka dash board kalivyowekwa katikati...
hata ukimpa mama mkwe lifti, anasoma gauge za mafuta, speed na rpm....
Anaona huyu fala nimempa binti yangu halafu mshale wa mafuta umelala kwenye E..