Toyota IST.....[emoji41][emoji41]

Me sipendi tu kale ka dash board kalivyowekwa katikati...
hata ukimpa mama mkwe lifti, anasoma gauge za mafuta, speed na rpm....

Anaona huyu fala nimempa binti yangu halafu mshale wa mafuta umelala kwenye E..
Ile model ya pili ni nzuri, lakini haijapendeka kama ile ya kwanza. Binafsi sipendi muonekano wake.

Pia instrunent cluster wameirudisha kwa dereva na ina features nzuri ila haijapendeka kama ile ya kwanza. Iko too aggressive. Haiongeki aise.
 
Nimegundua kuendesha baby walker inasababisha inferiority complex

Wanaume wanaomiliki IST wanapenda kuning'niza funguo kiunoni.
 
Ile model ya pili ni nzuri, lakini haijapendeka kama ile ya kwanza. Binafsi sipendi muonekano wake.

Pia instrunent cluster wameirudisha kwa dereva na ina features nzuri ila haijapendeka kama ile ya kwanza. Iko too aggressive. Haiongeki aise.
Tatizo pia kabei kake kamechangamka kidogo
 
Tabia siipendi ile...basi tu

Hivi za kwako za V8 huwa unaningā€™iniza wapi?

Sasa inabidi ziningā€™inizwe kifuani maana kiunoni wewe hupendi na mfukoni zinaharibu screen za simu.

Mkumbo kitu kibaya sana, siongelei mheshimiwa, lah hasha. Naongelea kudandia ishu, kwa sababu flani kainegatize basi na wewe mule mule
 
Povu kama lote...
 
Sina V8 ndugu nina gari ndogo tu ya cc 1500
ila funguo huwa nashika mkononi au naweka mfukoni...

Siyo unatundika funguo za gari, za geti, za mlango na opener kwa pamoja kwenye luksi za suruali..

Mimi sipendi....kama sipendi please isikukere coz hatufanani

Nakutakia mavuno mema
 
Vits cc 990 na vitz rs cc 1290 zina tumia mafuta kiasi gani kwa kila 1 , lita 1 kwa km ngapi
 
Sina V8 ndugu nina gari ndogo tu ya cc 1500
ila funguo huwa nashika mkononi au naweka mfukoni...

Siyo unatundika funguo za gari, za geti, za mlango na opener kwa pamoja kwenye luksi za suruali..

Mimi sipendi....kama sipendi please isikukere coz hatufanani

Nakutakia mavuno mema

Hehehee sasa unasema isinikere jinsi usivyopenda huku wewe ukikereka na fungua zinazoningā€™inia kwenye viuno vya wengine!!?

Kwani wameningā€™iniza kwenye kiuno chako?
 
Umewahi kuona watu wenye Rangerover zao wamening'iniza funguo kiunoni...??...hii tabia ni ya wenye IST ndiyo wwnaotusumbua mijini na funguo zao...

Mwanaume kiunoni unaweka bastoa iliyojaa risasi
 
Mzeee nishajiukiza hili swali mpaka mwisho sijawah pata majibu hawa madereva wa IST wana shida gani aiseee maana mbio zao huwa sio za kawaida
Alafu Madereva wengi wa I.S.T wanapenda Sana league barabaran sielewi TATIZO Lao ni nini.

Nikiwa barabaran huwa nacheka Sana jinsi wanavyohangaika
 
Wengi wao bado wana wenge coz wengi wao ndiyo gari zao za kwanza kumiliki baada ya kupata ajira au kufanikiwa kibiashara....
Mzeee nishajiukiza hili swali mpaka mwisho sijawah pata majibu hawa madereva wa IST wana shida gani aiseee maana mbio zao huwa sio za kawaida
 
Mkumbo kitu kibaya sana, kudandia ishu, kwa sababu flani kainegatize basi na wewe mule mule

Huu nj ugonjwa wa akili.

Na kwa wengi ndio sababu hata maisha yao kuwa mabaya/ya dhiki.

Siku wakipona, hii nchi itapendeza sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom