Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,510
- 9,348
Ni aina ya gari ndogo iliyotokea kupendwa sana kutoka kampuni ya Toyota kulingana uimara wake na fuel consumption nzuri....pia inaoneoneka ni gari iliyohongwa kwa kiwango cha juu. .wadada wanazipenda sana.
Naona sasa wamiliki wa gari hii wameingizwa kwenye kashfa..
Mheshimiwa kasema uchunguzi unafanyika kubaini kama wamiliki wa Toyota IST ni wamiliki halali au wamehongwa....
Wamiliki wa gari hili sijui wamelichukuliaje suala hili..?
Tanzania hii...