Toyota IST.....[emoji41][emoji41]

Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
3,510
9,342
Ni aina ya gari ndogo iliyotokea kupendwa sana kutoka kampuni ya Toyota kulingana uimara wake na fuel consumption nzuri....pia inaoneoneka ni gari iliyohongwa kwa kiwango cha juu. .wadada wanazipenda sana.

Naona sasa wamiliki wa gari hii wameingizwa kwenye kashfa..

Mheshimiwa kasema uchunguzi unafanyika kubaini kama wamiliki wa Toyota IST ni wamiliki halali au wamehongwa....

Wamiliki wa gari hili sijui wamelichukuliaje suala hili..?

Tanzania hii...
 

Attachments

  • IMG_20190601_120854_448.jpeg
    IMG_20190601_120854_448.jpeg
    36.1 KB · Views: 90
  • IMG_20190601_122038_669.jpeg
    IMG_20190601_122038_669.jpeg
    32.2 KB · Views: 75
Hahahahah sasa anamaindi nini au kaporwa hawara wake kwa chambo ya IST
 
City cruizer, acha zipigwe dongo zinapngezeka kwa wingi na ni rahisi kuziudumia.
hii gari naikubali ila saresare ndo shida.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom