Toyota Hilux Surf 1999

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
wakuu, nataka kuagiza Toyota Hilux Surf 1999 Sports Runner model yenye specifications zifuatazo: year 1999, odometer 74,000, 2700 cc, automatic, petrol, 3RZ engine. kama kuna mtu anafahamu uimara na uzuri/ubaya wa surf naomba anifahamishe. na Je kuna mtu anafahamu inaitwa BE FOWARD (japanese used car exporter)

Picha yake ni hii

01w.jpg
 
Jitayarishe kulipa dumping tax kwani hii gari ni ya zaidi ya miaka 10.
 
je ni kiasi gani cha kodi unachotakiwa kulikomboa gari iwapo CIF NI USD 4000? WAZOEFU WA KODI NISAIDIENI
kweli nakubaliana na hilo; Je nani anaweza kunisaidia kujibu maswali ya hapo juu?
 
kweli nakubaliana na hilo; Je nani anaweza kunisaidia kujibu maswali ya hapo juu?

Mkuu naona umeshapata total cost - haipungui 12m, unaonaye tuwasiliana nikuuzie Surf yangu 1kz diesel engine kwa 7.5m ina 105,000 MILLEGE nanimekuwa naitumia hapa dar, new tyre if interested nipm
 
kweli nakubaliana na hilo; Je nani anaweza kunisaidia kujibu maswali ya hapo juu?

mkuu....surf in general sio gari imara wala powerful kama LAND CRUISER,sio spacious kama normal SUVs,noisy and cheap-looking car[poor quality]....having said that haina maana kuwa ni gari mbovu kihiivyo......muhimu unaitumia wapi na vipi......
 
Surf ni gari zuri ukizingatia kulifanyia matengenezo ya uhakika. Nilinunua moja ikiwa na 78,000 km sasa lishafika 112,000 km sijawahi pata matatizo yoyote. Mara kwa mara juwa nafanya safari iringa - dar, iringa - mby, dar - mby bila shida yoyote. Uzuri zaidi ina turbo kwa hiyo ile kitonga unaipanda kama unashuka, unaanza na 120 kama njia nyeupe uanamaliza na speed hiyo au zaidi.

Ichukue hiyo
 
mkuu....surf in general sio gari imara wala powerful kama LAND CRUISER,sio spacious kama normal SUVs,noisy and cheap-looking car[poor quality]....having said that haina maana kuwa ni gari mbovu kihiivyo......muhimu unaitumia wapi na vipi......

Surf ambazo sio imara ni zile zenye engine ya 2L-TE. Ile yenye engine ya 1KZ ni nzuri kama jamaa anavyosema na nadhani hata kama sio powerful kama Land Cruiser (3000 cc vs 4000 cc) bado naweza kusema acceleration yake ni kubwa kuliko Land Cruiser, kwani kuna masuala ya uzito vile vile.
 
Je engine ya 3RZ ipoje, chief na Lutala.

nashukuru kwa maoni
 
Surf ambazo sio imara ni zile zenye engine ya 2L-TE. Ile yenye engine ya 1KZ ni nzuri kama jamaa anavyosema na nadhani hata kama sio powerful kama Land Cruiser (3000 cc vs 4000 cc) bado naweza kusema acceleration yake ni kubwa kuliko Land Cruiser, kwani kuna masuala ya uzito vile vile.

nikizungumzia uimara wa gari esp.4x4 simaanishi engine tu....
u must be joking.....
 
Nitashukuru kama ukitufafanulia kwa kirefu

hio ni straight foward......just think WHY UN and all the international and national organisation prefer LAND CRUISER over SURF which is very cheap compare the former...........
 
hio ni straight foward......just think WHY UN and all the international and national organisation prefer LAND CRUISER over SURF which is very cheap compare the former...........

mh! kaaz kweli kweli!
 
Nilikua kipind flan naendesha SURF ya jamaa angu.

Kuna lijamaa likaniambia be careful with surf sababu huwa zinawaka moto zenyewe tu.

Sina uhakika na hili
 
Nilikua kipind flan naendesha SURF ya jamaa angu.

Kuna lijamaa likaniambia be careful with surf sababu huwa zinawaka moto zenyewe tu.

Sina uhakika na hili

hiyo kali? zinawaka moto kivipi? what is the technical explanation behind?
 
hio ni straight foward......just think WHY UN and all the international and national organisation prefer LAND CRUISER over SURF which is very cheap compare the former...........

Prondo sijakuelewa vizuri, kwa sababu UN na international organization zinatumia Landcruiser ndo zinaifanya SURF kuwa siyo imara?
ila nahisi una maelezo mazuri unayafahamu ubovu wa SURF, nitashukuru sana kama utaweza kueleza kwa uyakinifu zaidi na jinsi ya kufanya maana kama ni kuingia mkenge inawezekana nimeshaingia mkenge maana gari ipo njiani to TZ. sasa hebu jaribu kueleza zaidi kidogo zaidi kuhusu ubovu wa SURF technically.
 
watu mbona wanajua vitu na wasitasita kuviweka wazi, jaribuni kufafanua ili na isis tupate elmu
 
prondo sijakuelewa vizuri, kwa sababu un na international organization zinatumia landcruiser ndo zinaifanya surf kuwa siyo imara?
Ila nahisi una maelezo mazuri unayafahamu ubovu wa surf, nitashukuru sana kama utaweza kueleza kwa uyakinifu zaidi na jinsi ya kufanya maana kama ni kuingia mkenge inawezekana nimeshaingia mkenge maana gari ipo njiani to tz. Sasa hebu jaribu kueleza zaidi kidogo zaidi kuhusu ubovu wa surf technically.

mkuu.....sio gari mbovu kiasi cha wewe kuwa na wasiwasi ila sio imara kama land cruiser hasa off-road....tatizo kubwa ni suspension...lakini kwa matumizi ya kawaida its ok....ila kwa heavy duty no where near land cruiser
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom