Car4Sale Tunafanya Biashara ya kuuza na kununua magari, mapya na yaliyotumika Tanzania

Hassan Loloo

Member
Nov 25, 2013
35
17
TOYOTA HARRIER
Engine 5S, Cc 2160
Mwaka 2000
Rangi Black
Bei 16.5 million
Call/whatsapp 0672697409

IMG-20200213-WA0069.jpg
IMG-20200213-WA0073.jpg
IMG-20200213-WA0075.jpg
IMG-20200211-WA0040.jpg
 
Toyota Prado Plate No. #DCC
Cleaning conditions
No dent/no scrach
Engine 2TR Vvti
Auto transmission
Petroleum
Cc 2690
Year 2006
Kilometers 87000
New Tyres
Price/Bei Mil 40 neg.
Call/WhatsApp 0672697409
0788051810
IMG-20200503-WA0017.jpg
IMG_20200503_082501_684.jpg
IMG_20200503_082635_841.jpg
IMG_20200503_082635_805.jpg
IMG_20200503_082501_674.jpg
IMG_20200503_082635_802.jpg
IMG_20200503_082635_848.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
For sale Subaru Impreza
Mfd 2008/9

Cc 1490
Low Millage
Clean Interior
Full Option
In Good Condition
BEI 10.6ml Maongezi yapo
Location Dar es salaam.Posta
Call/whatsapp 0672697409
Karibu Tukuhudumie.

IMG_20210429_104858_908.jpg
 
NISSAN X-TRAIL (DNH)
Year 2008/09
Cc 1990
Kms 80,000
Forg Lights
Leather Seats
New Tires
Music Radio/
Cd/Bluetooth/Flash
Full Documents (File)
Fuel Petrol
Transmission Auto
Imported From Japan
Spare Tire
Gari imetunzwa vizuri
Price 15.5 mln
Call/whatsapp-0672697409

IMG_20210429_115715_606.jpg
 
Hongera mkuu gari nzuri, ila kila nikiona xtrail damu inasisimka hakuna gari ilinitesa kama hiyo...dalali George ulieniuzia ile gari Mungu akulaani, gari ile ilichangia sana kuniingiza kwenye lindi la umaskini...nilionywa sana kwamba xtrail ni mbovu sikusikia....kila la kheri mnunuzi.
 
Hongera mkuu gari nzuri, ila kila nikiona xtrail damu inasisimka....hakuna gari ilinitesa kama hiyo...dalali George ulieniuzia ile gari Mungu akulaani, gari ile ilichangia sana kuniingiza kwenye lindi la umaskini...nilionywa sana kwamba xtrail ni mbovu sikusikia....kila la kheri mnunuzi.
Hapo ushamaliza biashara
 
Hongera mkuu gari nzuri, ila kila nikiona xtrail damu inasisimka hakuna gari ilinitesa kama hiyo...dalali George ulieniuzia ile gari Mungu akulaani, gari ile ilichangia sana kuniingiza kwenye lindi la umaskini...nilionywa sana kwamba xtrail ni mbovu sikusikia....kila la kheri mnunuzi.
Hv haya Magari shida yake kubwa ni nn hasa? Mbona Watu wamekuwa wakiyalalamikia sana kulikoni?
Na je, yanatofauti gani na Nisani nyingine mfano Dualis?
 
Back
Top Bottom