Toyota Harrier iliyoagizwa kutoka JAPAN inauzwa kwa bei nafuu kabisa SHILINGI MILIONI 18. Haijatumika Dar Es Salaam. Imeshalipiwa Ushuru. Imeshasajiliwa. Engine size CC 2160. 4WD. CHASSIS No: SXU15. Ni gari ya mwaka 1999. Imetembea km 110,000. Rangi ya SILVER. Kwa mnunuzi aliye serious wasiliana nami kupitia namba XXXXXXX au XXXXXXXXX. Gari ipo OYSTERBAY DAR ES SALAAM.
SOLD.IMESHAUZWA
SOLD.IMESHAUZWA