Toyota fortuner vs ford range zikiwa offroad

hizo ni class mbili za magari zilizoundwa kwa matumizi tofauti....Linganisha kati ya haya yafuatayo.
Ford Ranfer 3.2 wildtrac
Volkswagon Amarock
Common rail,turbo diesel toyota hilux
Mitsubish Triton
Nissan Navara.

Kwa durability na yenye uwezo wa kuhimili barabara ngumu za kiafrika hakuna anaemchallenge Toyota hilux hapo. Ukitaka power na stability nenda for Nissan Navara, japo linakufa sana ball joints za mbele. nyingi utazikuta zimelalia tairi za mbele. ukitaka lenye uwezo wa kuvuta trailler bila kuhustle nenda for ford ranger. Ukitaka European style amarock....Mitsubish amezingua kwenye engine capacity.....yeye amejenga body kubwa kisha akaweka engine ya 2.4 cc.

ford ranger haliwezi mishe za off roading. kwa mwonekano wa nje ni gari ya kibabe ila ukiliingiza porini unaweza ukaliacha uko uko.

Kwamba triton imewekwa engine ndogo ?? Kwan amarock hamna za cc 2500 au hilux ??

Ukubwa wa engine unaipimaje?? Maana hiyo engine ya cc 2400 ilioko kwa Triton za kwanzia 2015 mfano 4N15 inatoa hp 180 na torque 430nm ...kiasi hicho cha nguvu ni zaidi ya engine ya vx amazon 4.2L I6 pia twisting force inalingana na cruza lx ..pia inalingana na 1GD FTV ambayo ipo kwa fortuner za kwanzia 2015 2016 na prado na hilux za mwaka huo sasa unawezaje sema ile ingine ni ndogo ??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom