Toyota Fortuner "Mjapan mwenye vinasaba vya Marekani"

G.25

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
1,441
2,000
Uwe unaweka na vipicha mkuu!
Haya ndo magari ya kuumeni.
Linaitwa toyota tacoma. Ukubwa wake, Linaizidi kwa mbali sana hilux ni off road lenye heshima zake!
Discovery 4 naipenda sana kwa mwonekano. Imekaa kiume zaidi.
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,211
2,000

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
9,214
2,000
Toyota Fortuner ya sasa hivi ni gari nzuri ina mapumziko ya kutosha bara barani ina balance hata ikiwa kwenye mwendo kasi...
 

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,965
2,000
Hii fortuner si ya india mkuu!
Maana navyoelewa ni kuwa ilianza kutengenezwa mwaka 2009 india na Toyota Kirloskar Motors.
 

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,965
2,000
Hiyo Fortuner sio gari tough ya off-road hiyo bado ipo kwenye luxury na wenzake wakina Prado na Surf.
Wewe ukisikia off road unafikiri ni magari aina gani?

Gar yoyote 4x4 inaweza kuwa modified na kuwa off road endapo utaupgrade tyres za off road, shockup boosters, hitch, lift kit, suspension and bushing,skid plate,bull bar, roof Rack, light bar na vingine vingi.
 

Kibra49

Senior Member
Jul 19, 2017
167
225
A
Wewe ukisikia off road unafikiri ni magari aina gani?

Gar yoyote 4x4 inaweza kuwa modified na kuwa off road endapo utaupgrade tyres za off road, shockup boosters, hitch, lift kit, suspension and bushing,skid plate,bull bar, roof Rack, light bar na vingine vingi.
Sante sana swali zuri sana ilo,akiweza kujibu ndo aendelee kutoa hoja
 

bullet

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
1,047
2,000
Binafsi japo sina hela ya maana ila napenda sana American Cars. Nikiona zile Ford pana pana hivi, mara Escalade au zile Chevs nazipenda sana. Kwa nini hazipo nyingi hapa kwetu Tanzania? Japan ni karibu sana na China na pia magari yao sio ghari sana ila China ni kama wana obsession ya American Cars! Kwa nini? Je magari ya Kimarekani ni bora zaidi na kama ni hivyo kwa nini sisi hatuyaagizi? Au hakuna USED kule?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom