Toyota cresta gx 100 zinaongoza kwa wingi dar es salaam- utafiti

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Wadau nimejaribu kufanya utafiti wa gari za toyota saloon...nimegundua cresta ndiyo zinaongoza kwa wingi...kila baada ya dakika mbili lazima cresta ipite
 
hongera sana toyota cresta gx100, kwa kuongoza na hongera sana Kayagila kwa utafiti wako.
 
unatutangazia unayo au?unashangaa pahali huna kazi unazihesabu au
umekuwa vehicle inspector??????
 
Back
Top Bottom