Toyota corola spacio new model inahitajika haraka

Human

Member
Jun 30, 2012
9
3
Ninahitaji corolla spacio new model haraka sana.Cha msingi gari iwe kwenye hali nzuri na offer yangu haizidi 9M.Kama unayo wasiliana nami kwa namba zifuatazo:0714652377 au 0768224663.
 
umeishiwa ww 9 mll ckupi spaxio yangu , bado naipenda. Kama vip nikupe opa bei nzuri tu na mabaki utnunua kiwanja kigamboni huko.
 
ipo mwaka 2002 inatoka jumatatu bandarini bei ???
 
Ninahitaji corolla spacio new model haraka sana.Cha msingi gari iwe kwenye hali nzuri na offer yangu haizidi 9M.Kama unayo wasiliana nami kwa namba zifuatazo:0714652377 au 0768224663.

9m hupati, for new model spacio, hata ukiagiza Japan hiyo hela haitoshi.... Do maths, ingia TRA blog utajua nasema nn.... Old model u can....!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom