Toyota coaster for sale

J

Jopapa

Member
Joined
May 28, 2019
Messages
27
Points
45
J

Jopapa

Member
Joined May 28, 2019
27 45
Ni gari nzri kwa biashara na haina tatizo lolote ,no b b na pia inatunzwa kwa mazingira mazuri ikiwemo kufanya service kama inavyo takiwa ,gari haidaiwi, na ina full vibali , bei yake ni sh milioni 24 tu za kitanzania, kwa maelezo njoo mwenyewe mpaka gari ilipo au piga cm no 0783 662495
img-20190711-wa0007-jpeg.1152017
img-20190711-wa0010-jpeg.1152018
img-20190711-wa0006-jpeg.1152019
img-20190711-wa0009-jpeg.1152020
img-20190711-wa0008-jpeg.1152021
img-20190711-wa0004-jpeg.1152022
img-20190711-wa0003-jpeg.1152023
 
Mina cute

Mina cute

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Messages
530
Points
1,000
Mina cute

Mina cute

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2018
530 1,000
Ni gari nzri kwa biashara na haina tatizo lolote ,no b b na pia inatunzwa kwa mazingira mazuri ikiwemo kufanya service kama inavyo takiwa ,gari haidaiwi, na ina full vibali , bei yake ni sh milioni 24 tu za kitanzania, kwa maelezo njoo mwenyewe mpaka gari ilipo au piga cm no 0783 662495View attachment 1152017View attachment 1152018View attachment 1152019View attachment 1152020View attachment 1152021View attachment 1152022View attachment 1152023
ina engine aina gani, crein shaft ni size ngapi imechongwa, ila sisi waswahil kawaida hatuuzi magari mpk yawe yanasumbua, cjui ni kwann eti, Mme wangu alinunuaga gari ya biashara kwa mtu miaka iyo ,aliambulia kujua kingereza tu, mara bolljoint ,crossjoint, timing belt, head gasket, injector pump, nozzle, feedcoil,exile, eeeh ,nilimuoneaga huruma lol
 
Mina cute

Mina cute

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Messages
530
Points
1,000
Mina cute

Mina cute

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2018
530 1,000
hapo mpk irudi iyo mil 24 simchezo, utaishia kupigiwa mahesabu tu ya kinadharia kuwa hesabu efu 80 ukidhidisha Kwa mwezi mara mwaka ela imerudi, sasa ingia uone kimbembe chake, Mr alikomaga miaka ile
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
2,924
Points
2,000
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
2,924 2,000
hapo mpk irudi iyo mil 24 simchezo, utaishia kupigiwa mahesabu tu ya kinadharia kuwa hesabu efu 80 ukidhidisha Kwa mwezi mara mwaka ela imerudi, sasa ingia uone kimbembe chake, Mr alikomaga miaka ile
😂 😂 😂 😂kama una presha aisee unakufa siku si zako
 

Forum statistics

Threads 1,314,994
Members 505,134
Posts 31,844,786
Top