Toyota Brevis na heshima zake

Mkuu wewe ndio hujui thamani ya mjapani.
Nunua Mjapani Toyota V6, V8 au hata Crown, Brevis au Subaru Forester.
Hizo gari zikikuacha barabarani basi uzembe wako.
Nunua European Range Rover au hata Mercedes, ukifanya uzembe inaungua kabisa.
Wiki mbili pale Mikocheni Range
mpya imezimwa moto kwa msaada wa majirani.
Range Rover hapa mjini zinaongoza kuungua, na ukikaa nayo mwaka una bahati.
Mkuu zinaungua zikiwa Dar pekee au nchi zote duniani?
 
Back
Top Bottom