Toyota Brevis Itabaki na Wanaume tu

Inauma sana Kwakweli,

Kuona Mwanaume Mzima,
Bila Haya kabisa mbele za Wanaume wenzie

Anaamua kabisa kujitoa Ufahamu na kujidhalilisha hadharani kua anamiliki kigari yenye thamani ya shilingi 10mil.

So Sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la brevis ni bei yake haiendani na gharama zake za uendeshaji iko very cheap
so vijana tunaojichanga huku na huku miaka 3 kupata 12m ya usafiri ni ngumu kumanage huduma zake

kwa maisha yetu ya kibongo hayaa yoyote anaemiliki gari hata iwe paso na anadrive bila shida yoyote ni wakupewa heshima tu
 
Kipato kinapoongezeka na matumizi pia huongezeka! Brevis ni gari nzuri Kama zilivyo nyingine inahitaji matunzo mazuri tu, kama Kipato chako ni cha kuunga unga gari hii utaitambua vizuri tu kuwa sio size yako. Unachokipenda wewe naweza nisikipende mimi japo ukweli utabaki pale pale mbuzi hula majani kwa urefu wa kamba yake.
 
Matambo mengine bwana !! Brevis ni gari unayoweza nunua kwa salio la M Pesa. Haizidi 15m.
Kelele za nini?
Hivi wenya gari za 100m hadi 300m watasemaje?


Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua amejaribu kuliuza hili jini bila mafanikio kwa kukosa wateja akaamua ajifariji kwa kuliita gari la wanaume, wakati mie huku kitaa naona wamama watu wa makamo wanasukuma hizi ndinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom