Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,026
- 173,678
Mi mbona sina masta. Ila ni ethusiast tuRaha ya jamiiforum kila mtu anakuwa na ndinga lipokuja suala la magari, nafaham wapo ila sio wote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mbona sina masta. Ila ni ethusiast tuRaha ya jamiiforum kila mtu anakuwa na ndinga lipokuja suala la magari, nafaham wapo ila sio wote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dogo ana hio Aristo *****. Ni bad news!!! Mwanzo alikuwa na Tourer-V 1Jz-gte sahivi kavuta Aristo. Wenye Subaru wanajutaHahah niliwahi kua na celica ila yenyewe ilikua 1Jz-GE ila nadhani ningefanya swap kwa 1Jz-GTE ingekua makida zaidi.
Nikiokotaga hela naitamani aristo yenye 2Jz-GTE manina.
Kuna tourer-V Jzx100 inauzwa huko be forward CIF yake tu $15,862 ukija jumlisha na TRA unaweza kujuta ila hua naiangalia kila mara afu nasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hahah aisee ina mods za kutosha,yani hio ikiingia mjini ni mwendo wa kujipa safari ndefu huko mkoani huku umetenga hela ya kutosha ya Soda+fines za speed,maana lazima uitoe gundu kwanza.Hio si ishapigwa makila kinga. Nmeiona hio beforward nadhani. Ina ma spoiler kama yote ma kit kibao. Yani ikitua town tu unatafta wenye visubaru kuwatoa upepo!
Manina Aristo ukute ni 2jz-gte afu mods za kufa mtu kile ni chuma balaa,kule Kisongo kuna mwana alikuja na Aristo alikua anaijambisha balaa jamaa wa Subaru na Mitshubishi wana mchekiiiiiiii.Kuna dogo ana hio Aristo *****. Ni bad news!!! Mwanzo alikuwa na Tourer-V 1Jz-gte sahivi kavuta Aristo. Wenye Subaru wanajuta
Sasa wewe si umeinvest kwny siasa,nenda kapige story na polepole akupe story za shughuli ya landcruiser zinavyopiga kazi porini mkienda kuomba kura.Raha ya jamiiforum kila mtu anakuwa na ndinga lipokuja suala la magari, nafaham wapo ila sio wote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Japan wana Engine kubwa ila zikiwa stock zinaonekana kawaida sana. Ila ikipigwa mods kidogo tu inakuwa Bad news, unaeza ukaeka turbo tu watu wakabaki midomo wazi engine ile ile.Manina Aristo ukute ni 2jz-gte afu mods za kufa mtu kile ni chuma balaa,kule Kisongo kuna mwana alikuja na Aristo alikua anaijambisha balaa jamaa wa Subaru na Mitshubishi wana mchekiiiiiiii.
Mtu akisema wajapan hamna kitu kwny magari hua sometimes nashangaa sana aisee.
sasa hivi zinauzwa million 5-6.... Ni post ya kujifariji tuu.... Ukitoka ubungo mpaka shekilango ushapishana kama 5 hivi... Uniform ya taifaWatu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
hizo engine mbili tofaut n kiasi gan kwenye ulaji wa mafutaTatizo la Brevis ni kutumia 1JZ engine ya kizamani ndo maana mafuta yanaenda kizembe mara mia engine ya 4GR
4GR 1L 7.87KM 1JZ ni chini ya hio 4GR
Hahahah watakuua ma potiHahah aisee ina mods za kutosha,yani hio ikiingia mjini ni mwendo wa kujipa safari ndefu huko mkoani huku umetenga hela ya kutosha ya Soda+fines za speed,maana lazima uitoe gundu kwanza.
Hahah Subaru hapo lazima no. Isomeme
Sasa mtu amepata fedha mpaka amenunua gari la zaidi ya 15m anaogopa wese la 2,250/=Hahahah watu wanaongea tu, majority ya ma Don hapa town wanapush vyombo vya cc2500-5000 na walalahoi wengi wanaminyana kwenye juisi za miwa humo cc990-1800. Mwisho wa siku kila mtu na upenzi wake, mie niko radhi niende sheli mara kwa mara ila mchuma nao push uwe na mashine ya 6 cylinder inayounguruma kama simba.
Angalia Touareg, Audi suv, benz, bmw, harrier,kluger, crown, mark x ,brevis, mark 2 na VX V8 zilivyo nyingi hapa town wote wanacheza humo kwenye cc2500-5000. Walalahoi ndio wapiga kelele
Hahah ni utoto kweli yaniSasa mtu amepata fedha mpaka amenunua gari la zaidi ya 15m anaogopa wese la 2,250/=
jibu la kibabe ila limejitosheleza..
wacha uzwazwa...unaweza ukatoka kwenye brevis na ukatombewa mke....nani kakuambia vitz ni kipimo cha kutokuwa mwnaumeMkuu usiwajibu wanaokubeza wote wana vi starlet, vitz, spacio, ist. Unakuta dume limevimba na midevu kibao linatoka kwenye vitz.
Sent using Jamii Forums mobile app