Tumeubwa mateso sio?Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Uanaume ni kuwa na matumizi ya hela ya kifala? Inaelekea hata hujui maana halisi ya uanaume ila unapenda wanaume.Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Na ukikuta mwanamama anaiendesha?Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
nashangaaa
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Wacha ujinga ndugu, je wanaokimbia na Cruser FJ hapa mjini utawaitaje Cc 4000 alafu petrol..
Sent using Jamii Forums mobile app