RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,381
- 1,850
- Thread starter
- #141
Parefu saana aise. Kulipata tu ni ishu.Hili gari Beforward halipungui $15,000 aiseee
Parefu saana aise. Kulipata tu ni ishu.Hili gari Beforward halipungui $15,000 aiseee
Nafikiri ni kwenda na kurudi. Maana nategemea XT isishuke 6kpl, standard itakuwa hiyo 8.1kpl, japo kiuhalisia, ni mwendo wa 7 to 7.5kpl.Hio Chamazi hadi Mivumoni ni KM 49 nimeweka kuanzia Chamazi Catholic Church je hio ni kwenda na kurudi yani 49 km x 2 = 98km ndo mafuta hayo ya 30,000 au maana binafsi nataka nivute Forester XT Sh5 ya 2009 sema ndo itakua daily driving au maana nikicheki auto-data.net inaonesha city driving ni 8.1 km/l au hayo mafuta ya 30,000 ni ya kwenda tu?
Nafikiri ni kwenda na kurudi. Maana nategemea XT isishuke 6kpl, standard itakuwa hiyo 8.1kpl, japo kiuhalisia, ni mwendo wa 7 to 7.5kpl.
Ungepanda mpaka ya mwaka 2011 ndio iko poa zaidi. Japo bei zake ni juu kidogo.
Mkuu chamazi hadi huko tegeta ni mbali kwenda tu sio chini ya 45km kwaio kwenda na kurudi ni 90Km average kama hio 30,000 ni kwenda na kurudi hio gari inakula average ya 7.5-8.1km/l kama anaendesha vizuri sio yule anakanyaga rev mpaka kwenye 4 na mbio mbio ila kama ni kwenda tu katumia 30,000 basi gari inakula mafuta sana maana ni kama 3-4km/l na possibly alikua anakimbia maana 30,000 wese unapata 12.70 litres kwa bei ya mwezi uliopita kama ni kwenda na kurudi naweza imudu hio forester..hio ya 2009 nimeona ushuru ni 7.6m na CIF yake inacheza $3400-3800 ndo bajeti yangu hio sitaki ifike $4000 na kuendelea cheki google map uone distanceNafikiri ni kwenda na kurudi. Maana nategemea XT isishuke 6kpl, standard itakuwa hiyo 8.1kpl, japo kiuhalisia, ni mwendo wa 7 to 7.5kpl.
Ungepanda mpaka ya mwaka 2011 ndio iko poa zaidi. Japo bei zake ni juu kidogo.
Hio Chamazi hadi Mivumoni ni KM 49 nimeweka kuanzia Chamazi Catholic Church je hio ni kwenda na kurudi yani 49 km x 2 = 98km ndo mafuta hayo ya 30,000 au maana binafsi nataka nivute Forester XT Sh5 ya 2009 sema ndo itakua daily driving au maana nikicheki auto-data.net inaonesha city driving ni 8.1 km/l au hayo mafuta ya 30,000 ni ya kwenda tu?
Sikuzote mafuta yanaenda Sana kama utakanya accelerator bila mpangilio au ukifanya mashindano ya MBIO barabaran na pia nakumbuka ilikuwa jpili na foleni haikuwa kubwaNafikiri ni kwenda na kurudi. Maana nategemea XT isishuke 6kpl, standard itakuwa hiyo 8.1kpl, japo kiuhalisia, ni mwendo wa 7 to 7.5kpl.
Ungepanda mpaka ya mwaka 2011 ndio iko poa zaidi. Japo bei zake ni juu kidogo.
Itafaa nipeleke langu lenye 1jz-gte maana nilitamani kulibadilishia machine niweke ya 1g Ila cha kushangaa pale shaurimoyo waliomba 2.2 milkama atabaki na engine ya 1G... hapo anatakiwa afanye ECU remap then achange exhaust systeam aweke larger one then acheze na body.... rougly 1.5-2 ml simple mods ila ataona changes
akitaka atishe zaidi afanye swap ya 1jz-gte ambayo itamcost maana itabidi aitafute hyo mashine
ila kwa simple mods ya 1g ..kwa frisby atafanyiwa ecu remap... perfomnce exhaust na body work 2ml
Hii gari inazidi budget ya jamaa alieuliza hilo swaliLexus LS460 ya mwaka 2008. Hizo gari ni kama zimeletwa from the future.
Anhaa kwenda na kurudi wese 30,000 hapo naona ipo sawa...hio uliokua nayo wewe ni zile SH5? Zilizoanza kutengenezwa 2008? Mimi Naitaka kama hii halafu niinyanyue kama hivi mkuuKwenda na kurudi
30000 kwenda tu?Ingawa sijawahi kuendesha hiyo Altezza lakin Kwa uzoefu wangu MDOGO hapa majuzi wiki 2 zilizopita nimedrive Subaru forester cross sport yenye engine code EJ 20 na turbocharger 2.T.
Hii gari nilikuwa naisikia Tu sifa zake za kukimbia hakika ni Noma hili gari, Kwa Magari yenye Cc 2000 kushuka chini sidhani kama kuna gari ya kuipita Subaru forester (nipo tayari kukosolewa na kuelimishwa).
Hata fuel consumption yake naona kawaida Tu kutoka Chamazi Hadi Tegeta mivumoni nilitumia mafuta ya TSH 30000/= Tu ni kama ninavyotumia Kwenye carina ti
Nimeenda na kurudi Kwa 30000/= bila shida30000 kwenda tu?
Mimi nazikubali forester za 2008 kushuka chini maana hata hizi toleo unazohitaji zina engine kama zile za zamani..Anhaa kwenda na kurudi wese 30,000 hapo naona ipo sawa...hio uliokua nayo wewe ni zile SH5? Zilizoanza kutengenezwa 2008? Mimi Naitaka kama hii halafu niinyanyue kama hivi mkuu
Zile za 2008 kushuka chini SG5 au SG9 zipo fresh mimi nazikubali sana za kuanzia 2005-2008 zile facelifted sema ya 2007 ushuru ni 8,300,000 bado TPA na zingine CIF zinacheza $2900-3400 sasa naona shida kuchukua model ya muda kidogo maana nahisi nitakaa nayo sana i.e. miaka 4-6 ila yote tisa ugonjwa wangu napenda niwe naona fuel consumption kwente screen zile za 2008 kushuka chini hazioneshi i.e ukiweka wese la i.e. 50,000 labda utatembea km ngapi nataka assuarance hio sio ile nabahatisha pia zipo chini sana zile za 2008 kushuka chiniMimi nazikubali forester za 2008 kushuka chini maana hata hizi toleo unazohitaji zina engine kama zile za zamani..
Engine zake ni EJ 20
Turbocharger ni 2.t
Hizo gari Mkuu nimetokea kuzipenda Sana sikuhizi spare parts zake zipo madukani na hata mafundi wapo pia
Ina kipua Kwenye bonnet kwaajili turbochargerHio yenye turbo si ndo inakile kipua cha kupumua pale mbele?
Okay, in that case, hiyo haiwezi kukushinda. Hiyo consumption sio mbaya. Hata bei pia naona iko poa.Mkuu chamazi hadi huko tegeta ni mbali kwenda tu sio chini ya 45km kwaio kwenda na kurudi ni 90Km average kama hio 30,000 ni kwenda na kurudi hio gari inakula average ya 7.5-8.1km/l kama anaendesha vizuri sio yule anakanyaga rev mpaka kwenye 4 na mbio mbio ila kama ni kwenda tu katumia 30,000 basi gari inakula mafuta sana maana ni kama 3-4km/l na possibly alikua anakimbia maana 30,000 wese unapata 12.70 litres kwa bei ya mwezi uliopita kama ni kwenda na kurudi naweza imudu hio forester..hio ya 2009 nimeona ushuru ni 7.6m na CIF yake inacheza $3400-3800 ndo bajeti yangu hio sitaki ifike $4000 na kuendelea cheki google map uone distance
Ni kweli. Na good thing about XT, ukitaka mbio unazipata za kutosha.Sikuzote mafuta yanaenda Sana kama utakanya accelerator bila mpangilio au ukifanya mashindano ya MBIO barabaran na pia nakumbuka ilikuwa jpili na foleni haikuwa kubwa
Hehehee, una mpango wa kulipeleka mbugani eeh? Maana linafika vizuri kabisa.Anhaa kwenda na kurudi wese 30,000 hapo naona ipo sawa...hio uliokua nayo wewe ni zile SH5? Zilizoanza kutengenezwa 2008? Mimi Naitaka kama hii halafu niinyanyue kama hivi mkuu
Unaweza lipata kwa chini ya US$10,000. Ushuru wake una range kwenye Tshs 27m. So hapo unaweza pata moja linalofit hiyo budget.Hii gari inazidi budget ya jamaa alieuliza hilo swali
RS6 hatari sanaHahah ntajitahidi kuzoea kile kisogo chake mkuu,umeshawahi kuifuatilia audi rs6?aisee ile hatchback mziki wake ni usipime mkuu.