RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,382
- 1,851
- Thread starter
- #121
LS460 ya 2008 naikubali saana. Japo nimetishika na hizo air suspensions.Ls 460 ya mwaka gani unaipenda mkuu?
LS460 ya 2008 naikubali saana. Japo nimetishika na hizo air suspensions.Ls 460 ya mwaka gani unaipenda mkuu?
Yes, kwa sasa ukinunua kile kwa kweli, unakua umepoteza pesa yako. Japo jamaa wanakisifia saana. Ni rahisi kukiendesha. Ingawa hakina nguvuNi kweli mkuu na hivi wazitengeneza kwa ushirikiano na subaru nadhani zitakua mkao sana(gt 86=subaru brz),shida iko expensive ila tutasubiri huko miaka ya mbeleni ikishapoa bei kama kawaida yetu mkuu,hahah.
Kabisa. Huwa zinawatesa saana. Na wengi wanaishia kuzitoa. Cha kusnangaza, kuna malori kibao sas hivi yana air suspensions. Huwa ninajiuliza wanamudu vipi gharama yake. Au ni mfumo tofauti na wa gari ndogo.Nadhani hapo kwny air suspension kwa mtazamo wangu gari yenye hio kitu si ya kununua, bora ununue gari hio hio lkn yenye standard suspension maana nimeona hata discovery 3 zenye air suspension ikizingua mamilioni yatakutoka aisee.
Kabisa yaani. Unajua kuna gari huwa nawish zisipotee sokoni kabisa.Hahah dude huwezi jua kama ni tourer V aisee.
Hehehee, hilo ni kiboko aise. Duu! Ila nadhani sio uwekezaji mzuri kununua la hivyo.Kuna tourer V mods huko be forward inauzwa usd 15,000 hio CIF tu,hahah.
Bana, enthusiasts huwa wanapenda gari la mwaka fulani, sababu ya features zake, hata kama kuna magari kibao ya kisasa, bado watu watanunua hilo tu tena kwa bei kubwa. Mfano Ford GT40 ilitengenezwa miaka ya 60 huko, ila kwa jinsi jamaa wanavyolikubali, mpaka kampuni ikaamua kutengeneza gari kama hilo miaka ya hivi karibuni.Wanaume wa Dar jamani!!?? Yaani mnajadili gari la miaka 20 iliyopita kweli? Duh!!!
Mkuu kwa mtu anayekuomba ana 50M unamshauli achukue chuma gani kwa sasa..assume ungekuwa ni weweBana, enthusiasts huwa wanapenda gari la mwaka fulani, sababu ya features zake, hata kama kuna magari kibao ya kisasa, bado watu watanunua hilo tu tena kwa bei kubwa. Mfano Ford GT40 ilitengenezwa miaka ya 60 huko, ila kwa jinsi jamaa wanavyolikubali, mpaka kampuni ikaamua kutengeneza gari kama hilo miaka ya hivi karibuni.
Lexus LS460 ya mwaka 2008. Hizo gari ni kama zimeletwa from the future.Mkuu kwa mtu anayekuomba ana 50M unamshauli achukue chuma gani kwa sasa..assume ungekuwa ni wewe
Daah mkuu Kuna chuma flani nilikutana nacho nairobi chenyewe kilikua ni lexus IS-F, 2007 model,5.0L, V8 natural aspired,HP 416 si mchezo mzee.Lexus LS460 ya mwaka 2008. Hizo gari ni kama zimeletwa from the future.
Nairobi kuna Vyuma vya ukweli kushinda huku dar.Daah mkuu Kuna chuma flani nilikutana nacho nairobi chenyewe kilikua ni lexus IS-F, 2007 model,5.0L, V8 natural aspired,HP 416 si mchezo mzee.
Ingawa sijawahi kuendesha hiyo Altezza lakin Kwa uzoefu wangu MDOGO hapa majuzi wiki 2 zilizopita nimedrive Subaru forester cross sport yenye engine code EJ 20 na turbocharger 2.T.
Hii gari nilikuwa naisikia Tu sifa zake za kukimbia hakika ni Noma hili gari, Kwa Magari yenye Cc 2000 kushuka chini sidhani kama kuna gari ya kuipita Subaru forester (nipo tayari kukosolewa na kuelimishwa).
Hata fuel consumption yake naona kawaida Tu kutoka Chamazi Hadi Tegeta mivumoni nilitumia mafuta ya TSH 30000/= Tu ni kama ninavyotumia Kwenye carina ti
Mivumoni ni Tegeta Mkuu kama umeshawahi kufika Kwenye kiwanda cha cement wazo hillChamazi napajua mivumoni ni wapi boss?
Duu! Hilo dude ni balaa. Huyo ukifuatana naye unadhani ni salon car ya kawaida, ila akiamua kuweka mguu chini lazima uisome namba.Daah mkuu Kuna chuma flani nilikutana nacho nairobi chenyewe kilikua ni lexus IS-F, 2007 model,5.0L, V8 natural aspired,HP 416 si mchezo mzee.
Kule wanajilipua saana kwenye magari. Sisi huku wenye mawe ya maana hawana passion saana na haya mambo. Wengi wao wakimbilia kwenye Land Cruisers, wacheche Range Rovers.Nairobi kuna Vyuma vya ukweli kushinda huku dar.
Sisi ni watu wa kuigana kumiliki I.S.T
Kwa hizi crossovers tunazotumia Bongo, Forester XT zinawanyoonya karibu wote.Ingawa sijawahi kuendesha hiyo Altezza lakin Kwa uzoefu wangu MDOGO hapa majuzi wiki 2 zilizopita nimedrive Subaru forester cross sport yenye engine code EJ 20 na turbocharger 2.T.
Hii gari nilikuwa naisikia Tu sifa zake za kukimbia hakika ni Noma hili gari, Kwa Magari yenye Cc 2000 kushuka chini sidhani kama kuna gari ya kuipita Subaru forester (nipo tayari kukosolewa na kuelimishwa).
Hata fuel consumption yake naona kawaida Tu kutoka Chamazi Hadi Tegeta mivumoni nilitumia mafuta ya TSH 30000/= Tu ni kama ninavyotumia Kwenye carina ti
Sana Mkuu Kwa hapa bongo Subaru forester ni nomaKwa hizi crossovers tunazotumia Bongo, Forester XT zinawanyoonya karibu wote.
Mkuu siku zote nilikilionaga jina lako hua nahisigi wewe ndo huyo Jason Frisby nadhani ndo yule jamaa ana Mark II IR-V kama sijakoseamkuu mbona kila mwaka kuna official drag racing mara mbili.... inaitwa destination arusha drag racing huwa tunasafiri kwenda arusha barabara imenyooka ipo quality ya hali ya juu huwa inafungwa kwa ajili ya hyo racing... ina vibari kabisa huwa wanakuja wakenya kushindana na tz
wiki ijayo inafanyika kenya inaitwa masinga TT sema hii ntaikosa majukumu yamebana ila watu wameshafiri wameweka kambi arusha kwa tuner anaitwa jason frisby na huyu ndio gari yake huwa inatubeba TZ kwenye racing na wakenya
Hili gari Beforward halipungui $15,000 aiseeeHii dude limakaa vizuri saana aise. Unaweza kulikataa kabisa yaani.View attachment 900995
Hio Chamazi hadi Mivumoni ni KM 49 nimeweka kuanzia Chamazi Catholic Church je hio ni kwenda na kurudi yani 49 km x 2 = 98km ndo mafuta hayo ya 30,000 au maana binafsi nataka nivute Forester XT Sh5 ya 2009 sema ndo itakua daily driving au maana nikicheki auto-data.net inaonesha city driving ni 8.1 km/l au hayo mafuta ya 30,000 ni ya kwenda tu?Ingawa sijawahi kuendesha hiyo Altezza lakin Kwa uzoefu wangu MDOGO hapa majuzi wiki 2 zilizopita nimedrive Subaru forester cross sport yenye engine code EJ 20 na turbocharger 2.T.
Hii gari nilikuwa naisikia Tu sifa zake za kukimbia hakika ni Noma hili gari, Kwa Magari yenye Cc 2000 kushuka chini sidhani kama kuna gari ya kuipita Subaru forester (nipo tayari kukosolewa na kuelimishwa).
Hata fuel consumption yake naona kawaida Tu kutoka Chamazi Hadi Tegeta mivumoni nilitumia mafuta ya TSH 30000/= Tu ni kama ninavyotumia Kwenye carina ti