Toyota Altezza Gita Thread: Karibuni tupeane uzoefu kuhusu gari hili

RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
963
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
963 1,000
Ni kweli mkuu na hivi wazitengeneza kwa ushirikiano na subaru nadhani zitakua mkao sana(gt 86=subaru brz),shida iko expensive ila tutasubiri huko miaka ya mbeleni ikishapoa bei kama kawaida yetu mkuu,hahah.
Yes, kwa sasa ukinunua kile kwa kweli, unakua umepoteza pesa yako. Japo jamaa wanakisifia saana. Ni rahisi kukiendesha. Ingawa hakina nguvu
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
963
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
963 1,000
Nadhani hapo kwny air suspension kwa mtazamo wangu gari yenye hio kitu si ya kununua, bora ununue gari hio hio lkn yenye standard suspension maana nimeona hata discovery 3 zenye air suspension ikizingua mamilioni yatakutoka aisee.
Kabisa. Huwa zinawatesa saana. Na wengi wanaishia kuzitoa. Cha kusnangaza, kuna malori kibao sas hivi yana air suspensions. Huwa ninajiuliza wanamudu vipi gharama yake. Au ni mfumo tofauti na wa gari ndogo.
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
963
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
963 1,000
Wanaume wa Dar jamani!!?? Yaani mnajadili gari la miaka 20 iliyopita kweli? Duh!!!
Bana, enthusiasts huwa wanapenda gari la mwaka fulani, sababu ya features zake, hata kama kuna magari kibao ya kisasa, bado watu watanunua hilo tu tena kwa bei kubwa. Mfano Ford GT40 ilitengenezwa miaka ya 60 huko, ila kwa jinsi jamaa wanavyolikubali, mpaka kampuni ikaamua kutengeneza gari kama hilo miaka ya hivi karibuni.
 
M

meezy

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
430
Points
500
M

meezy

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
430 500
Bana, enthusiasts huwa wanapenda gari la mwaka fulani, sababu ya features zake, hata kama kuna magari kibao ya kisasa, bado watu watanunua hilo tu tena kwa bei kubwa. Mfano Ford GT40 ilitengenezwa miaka ya 60 huko, ila kwa jinsi jamaa wanavyolikubali, mpaka kampuni ikaamua kutengeneza gari kama hilo miaka ya hivi karibuni.
Mkuu kwa mtu anayekuomba ana 50M unamshauli achukue chuma gani kwa sasa..assume ungekuwa ni wewe
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
963
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
963 1,000
Mkuu kwa mtu anayekuomba ana 50M unamshauli achukue chuma gani kwa sasa..assume ungekuwa ni wewe
Lexus LS460 ya mwaka 2008. Hizo gari ni kama zimeletwa from the future.
 
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
2,636
Points
2,000
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
2,636 2,000
Daah mkuu Kuna chuma flani nilikutana nacho nairobi chenyewe kilikua ni lexus IS-F, 2007 model,5.0L, V8 natural aspired,HP 416 si mchezo mzee.
Nairobi kuna Vyuma vya ukweli kushinda huku dar.
Sisi ni watu wa kuigana kumiliki I.S.T
 
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
2,636
Points
2,000
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
2,636 2,000
Ingawa sijawahi kuendesha hiyo Altezza lakin Kwa uzoefu wangu MDOGO hapa majuzi wiki 2 zilizopita nimedrive Subaru forester cross sport yenye engine code EJ 20 na turbocharger 2.T.
Hii gari nilikuwa naisikia Tu sifa zake za kukimbia hakika ni Noma hili gari, Kwa Magari yenye Cc 2000 kushuka chini sidhani kama kuna gari ya kuipita Subaru forester (nipo tayari kukosolewa na kuelimishwa).
Hata fuel consumption yake naona kawaida Tu kutoka Chamazi Hadi Tegeta mivumoni nilitumia mafuta ya TSH 30000/= Tu ni kama ninavyotumia Kwenye carina ti
 
feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
1,223
Points
2,000
feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
1,223 2,000
Chamazi napajua mivumoni ni wapi boss?
Ingawa sijawahi kuendesha hiyo Altezza lakin Kwa uzoefu wangu MDOGO hapa majuzi wiki 2 zilizopita nimedrive Subaru forester cross sport yenye engine code EJ 20 na turbocharger 2.T.
Hii gari nilikuwa naisikia Tu sifa zake za kukimbia hakika ni Noma hili gari, Kwa Magari yenye Cc 2000 kushuka chini sidhani kama kuna gari ya kuipita Subaru forester (nipo tayari kukosolewa na kuelimishwa).
Hata fuel consumption yake naona kawaida Tu kutoka Chamazi Hadi Tegeta mivumoni nilitumia mafuta ya TSH 30000/= Tu ni kama ninavyotumia Kwenye carina ti
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
963
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
963 1,000
Daah mkuu Kuna chuma flani nilikutana nacho nairobi chenyewe kilikua ni lexus IS-F, 2007 model,5.0L, V8 natural aspired,HP 416 si mchezo mzee.
Duu! Hilo dude ni balaa. Huyo ukifuatana naye unadhani ni salon car ya kawaida, ila akiamua kuweka mguu chini lazima uisome namba.
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
963
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
963 1,000
Nairobi kuna Vyuma vya ukweli kushinda huku dar.
Sisi ni watu wa kuigana kumiliki I.S.T
Kule wanajilipua saana kwenye magari. Sisi huku wenye mawe ya maana hawana passion saana na haya mambo. Wengi wao wakimbilia kwenye Land Cruisers, wacheche Range Rovers.
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
963
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
963 1,000
Ingawa sijawahi kuendesha hiyo Altezza lakin Kwa uzoefu wangu MDOGO hapa majuzi wiki 2 zilizopita nimedrive Subaru forester cross sport yenye engine code EJ 20 na turbocharger 2.T.
Hii gari nilikuwa naisikia Tu sifa zake za kukimbia hakika ni Noma hili gari, Kwa Magari yenye Cc 2000 kushuka chini sidhani kama kuna gari ya kuipita Subaru forester (nipo tayari kukosolewa na kuelimishwa).
Hata fuel consumption yake naona kawaida Tu kutoka Chamazi Hadi Tegeta mivumoni nilitumia mafuta ya TSH 30000/= Tu ni kama ninavyotumia Kwenye carina ti
Kwa hizi crossovers tunazotumia Bongo, Forester XT zinawanyoonya karibu wote.
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,313
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,313 2,000
mkuu mbona kila mwaka kuna official drag racing mara mbili.... inaitwa destination arusha drag racing huwa tunasafiri kwenda arusha barabara imenyooka ipo quality ya hali ya juu huwa inafungwa kwa ajili ya hyo racing... ina vibari kabisa huwa wanakuja wakenya kushindana na tz

wiki ijayo inafanyika kenya inaitwa masinga TT sema hii ntaikosa majukumu yamebana ila watu wameshafiri wameweka kambi arusha kwa tuner anaitwa jason frisby na huyu ndio gari yake huwa inatubeba TZ kwenye racing na wakenya
Mkuu siku zote nilikilionaga jina lako hua nahisigi wewe ndo huyo Jason Frisby nadhani ndo yule jamaa ana Mark II IR-V kama sijakosea
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,313
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,313 2,000
Ingawa sijawahi kuendesha hiyo Altezza lakin Kwa uzoefu wangu MDOGO hapa majuzi wiki 2 zilizopita nimedrive Subaru forester cross sport yenye engine code EJ 20 na turbocharger 2.T.
Hii gari nilikuwa naisikia Tu sifa zake za kukimbia hakika ni Noma hili gari, Kwa Magari yenye Cc 2000 kushuka chini sidhani kama kuna gari ya kuipita Subaru forester (nipo tayari kukosolewa na kuelimishwa).
Hata fuel consumption yake naona kawaida Tu kutoka Chamazi Hadi Tegeta mivumoni nilitumia mafuta ya TSH 30000/= Tu ni kama ninavyotumia Kwenye carina ti
Hio Chamazi hadi Mivumoni ni KM 49 nimeweka kuanzia Chamazi Catholic Church je hio ni kwenda na kurudi yani 49 km x 2 = 98km ndo mafuta hayo ya 30,000 au maana binafsi nataka nivute Forester XT Sh5 ya 2009 sema ndo itakua daily driving au maana nikicheki auto-data.net inaonesha city driving ni 8.1 km/l au hayo mafuta ya 30,000 ni ya kwenda tu?
 
Forum statistics

Threads 1,324,584
Members 508,741
Posts 32,167,171
Top