Toyota Altezza Gita (Wagon) Thread: Karibuni tujuzane ubora na udhaifu wa gari hizi

Duu! Pole saana. Nawish Bongo kungekuwa na race track tuwe tunakwenda kujiachia huko. Sisi magari yetu tunakimbizana kwenye barabara za magari mengine, matokeo yake ajali zinakuwa nje nje.

mkuu mbona kila mwaka kuna official drag racing mara mbili.... inaitwa destination arusha drag racing huwa tunasafiri kwenda arusha barabara imenyooka ipo quality ya hali ya juu huwa inafungwa kwa ajili ya hyo racing... ina vibari kabisa huwa wanakuja wakenya kushindana na tz

wiki ijayo inafanyika kenya inaitwa masinga TT sema hii ntaikosa majukumu yamebana ila watu wameshafiri wameweka kambi arusha kwa tuner anaitwa jason frisby na huyu ndio gari yake huwa inatubeba TZ kwenye racing na wakenya
 
asante mkuu na siunajua uchumi wetu huu ukiipiga chini project car ambayo ilikuwa na mods worth of 2500$ hadi kujipanga na kurudi kwenye gari ya kiwango hicho ni miaka
 
Saana. Mods ni balaa, zinatumia pesa nyingi saana. Maana ni zaidi ya kununua OEM parts za gari.
 
mkuu mbona kila mwaka kuna official drag racing mara mbili.... inaitwa destination arusha drag racing huwa tunasafiri kwenda arusha barabara imenyooka ipo quality ya hali ya juu huwa inafungwa kwa ajili ya hyo racing... ina vibari kabisa huwa wanakuja wakenya kushindana na tz

wiki ijayo inafanyika kenya inaitwa masinga TT sema hii ntaikosa majukumu yamebana ila watu wameshafiri wameweka kambi arusha kwa tuner anaitwa jason frisby na huyu ndio gari yake huwa inatubeba TZ kwenye racing na wakenya
Duu! Kumbe! Sijawahi kuifuatilia hiyo. Angalau inatia moyo hiyo.
 
Yaani hiyo RS6 ninaikubali saana. I wish ingekuwa bei zetu. Maana ni very practical, ila ina nguvu balaa, na ina muonekano mzuri.
Kweli mkuu nilijaribu kuchek hata model za kitambo huko 2004 bado bei zake ni balaa aisee,2014 ulitokea mpambano wa team teza"gita" 2JZ vs toyota soarer 1998 2.5 twin turbo 1jz aisee ule mpambano ilikua ni shiiida aisee.
 
ilikuwa aristo mkuu nakumbuka tuning ya mwisho nilifanya pale kwa jet cruza kijitonyama GTP garaje

niliweka Front Mounted Inter Cooler na nilireplace the stock turbo nikaweka borge warner turbo nikafunga na water meth injection kit nikareplace speed meter nikaweka ya TRD inasoma 320 kph

sikumaliza miezi nilipata ajali maeneo ya bunju na gari ikawa rytoff kabisa
Hizo modifications sio za kitoto aisee.

Lkn Kuna jamaa humu jf mpenzi wa golf gti atakwambia toyota hakuna kitu njòo huku kwa wajerumani,teh teh
 
gari yenye power raha sana mkuu... japo watu wanasema AWD ndio mpango mzima ila mimi kwa gari yenye power na prefer sana reel wheel drive asee ukikanyaga unaifeel kabisa power inayota matairi ya nyuma kusukuma gari
Yes, AWD mara nyingi inasaidia wakati wa kuondoka na handling. Ila rear wheel drive inavutia kwenye kuendesha aise.
 
Hizo modifications sio za kitoto aisee.

Lkn Kuna jamaa humu jf mpenzi wa golf gti atakwambia toyota hakuna kitu njòo huku kwa wajerumani,teh teh
golf gti naikubali ila kwa aristo ikifanyiwa mods kidogo tu gti haigusi

kuna jamaa anaitwa samiji yule mmiliki wa hassam logistic ana aristo amefanya mods za 10000$ mwezi wa tatu aliikalisha bmw X6 twin turbo mpower model of 2017
 
Ya mwaka gani hiyo Aristo? Unajua hiyo ni Lexus GS kwa soko la Ulaya na Marekani. Iko vizuri.
 
2005 ila imekula mods balaa...

cheki video ya aristo nyingine hii ya ni ya jason frisby naye ni ana tuning garaje yake ... click link hyo sema hii ajabadilisha speed meter 😂😂 so ikishafika 180 haisomi tena wakati ilipigwa speed gun ikasoma 270 kwenye masinga TT drag ya mwaka 2016.... 0-180 real quick
 
Nimesikia inavyopiga filimbi tu. Safi saana
 
Back
Top Bottom