Toward South Africa FIFA 2010 World Cup | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toward South Africa FIFA 2010 World Cup

Discussion in 'Sports' started by Albedo, Oct 16, 2009.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ombi kwa Mods, kama wanaweza kuunganisaha threads zinazozungumzia mitanange ya maandalizi ya kuelekea South Afrika kwa Kombe la dunia ili tuweze kupata Taarifa za timu mbali mbali zilizokwisha kata tiketi na ambazo hazijakata tiketi katika maandalizi ya kwenda Kugombea Mwali huko S.A

  Asante
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Haya wajameni katika kujiandaa na Faianali za Kombe la dunia 2010, leo kuna mitanange miwili ya kukata na shoka

  Brazil ( Watoto wa Dunga) Watamenyana na England ( Watoto wa Capelo), Mtanange huo utapigwa huko Qatar

  Argentina( Watoto wa El Diez) Watapepetana na Spain ( Watoto wa De Bosque), Mpamabano utakaofanyika katika uwanja wa Santiago Barnabeu huo Madrid Spain

  Hii ni Mitanange inayotarajia kuvuta Hisia za wapenzi wengi wa Soka Duniani
   
 3. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo kuna mechi muhimu kwa Africa Qualifiers........Kama sasa hivi wanaceza Kenya na Nigeria......Kenya anaongoza 1-0 kama mambo yakiendelea kama hivi Nigeria hatokwenda SA.....atapata kwenda Tunisia ambayo pia inacheza sasa hivi na Mozambique. Na kwenye death group leo kuna mechi ya kuwaana baina ya Egypt na Algeria.

  Half time...

  Kenya 1 Nigeia 0
  Mozambique 0 Tunisia o
   
 4. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nigeria second half kaja juu....karudisha moja na kuongeza lapili...

  Mozambiquei na Tunisia bado 0-0...

   
 5. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona jirani zetu wanawaekea ngumu Nigeria....... score now ni Nigeria 3 Kenya 2

  Moizambiquie 1 Tunisia 0
   
 6. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Group 1 mechi zimeshakwisha.....Nigeria 3 Kenya 2.......Mozambiquie 1 Tunisa 0.

  So Nigeria qualify from the group with 12 points and Tunisia second with 11 points Mozambique third with 7 points.

  Mpaka sasa walo qualify kutoka Africa ni Nigeria, Ghana na Ivory Coast.

  Sasa tunasubiri group 1 and group 3

  Group 1 baina ya Cameron with 10 points na Gabon with 9 points.
  Cameron anacheza na Morocco na Gabon anacheza na Togo.

  Group 3 Baina ya Algeria with 13 points na Egypt with 10.
  Mechi yao ya leo ndio atajulikana nani anakwenda South Africa.
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Asante sana Mkuu! Duh Nigeria kapita katika Tundu la Sindano maana sikutarajia Mozambique amfunge Tunisia, Tuwasubiri Cameroon, Gabon, Algeria na Misri mkuu
   
 8. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Second half walizidiwa Tunisia walikuwa wanashambuliwa sana......Kweli Nigeria kapitia kwa mlango wa nyuma.......Sasa tuisubiri hiyo mechi ya kuuwana baina ya Algeria na Egypt.....Egypt akitaka kupita lazima ashinde 3-0......wakishinda 2-0 mechi itarudiwa tena na itachezwa Sudan after 2 weeks.
   
 9. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cameroon inaonyesha na yeye atapita bila ya tabu score mpaka sasa Morocco 0 Cameroon 1
  Togo 0 Gabon 0
   
 10. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Nigeria qualify for the World Cup


  [​IMG] Nigerian coach Shaibu Amodu has qualified Nigeria for the World Cup

  Nigeria have qualified for South Africa 2010 after defeating Kenya's Harambee Stars 3-2. They also have Mozambique to thank for beating Tunisia 1-nil in Maputo to qualify for the Africa Cup of Nations.
  Nigeria got off to a nervous start against the Harambee stars.
  Kenya's Dennis Oliech was the first to draw blood scoring after 16 minutes.
  Nigeria missed chance after chance in the first half which ended 1-nil.
  Nigeria's 200 or so spectators at the stadium began had their spirits lifted after Nigeria's Obafemi Martins equalized on 62 minutes and Yakubu Aiyegbeni netted again just three minutes later.
  Kenyan fans began throwing plastic bottles onto the pitch bringing the game to a halt briefly while the pitch was cleared of debris.
  Meanwhile in Maputo the goalless deadlock was broken when Dario scored on 83 minutes.
  But the goals were still coming in Nairobi.
  Harambee Stars equalized through Allan Wetende with just eleven minutes remaining.
  But Obafemi Martins saved the day for the Super Eagles netting his 2nd goal of the game on 83 minutes.
  Fans in Maputo began celebrating wildly as did Nigeria's loyal fans in Nairobi.
  This will be Nigeria's fourth appearance at the World Cup finals.
  They qualified in 1994, 1998 and in 2002.

  bbc sports
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Morroco 0 Cameroon 2
   
 12. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samuel Etto kafunga lapili.....

  So Cameroon nawao watakuwepo pia South Africa

  Bado timu moja tu sasa kutimia timu za Africa na mechi inasubiriwa na kwa hamu na kila mtu mechi hiyo...
   
 13. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Group 1 wameshamaliza mechi zao Cmeroon qualify.
  Morocco 0 Cameroon 2
  Togo 1 Gabon o

  Sasa limebaki group 3 only na mechi ndioimeanza now.
   
 14. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh Egypt wameamuwa dakika ya pili Egypt 1 Algeria 0
   
 15. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mpira wa egypt na algeria ni mzuri sana na wa kasi kubwa.
   
 16. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dakika 20 zimepita kama mchezo.....mpira wa kasi sana.......refer apunguze kupiga firimbi ovyo
   
 17. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Brazil Vs England

  England 0 Brazil 1
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mtanange umeisha kwa Brazil kujipatia Ushindi Mwembamba dhidi ya Brazil

  FT

  Brazil 1 ( Nilmar dk 47) England 0
   
 19. AlFahIm

  AlFahIm JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamekosa na penalty pia.....Fabiano alokosa
   
 20. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Algeria vs Egypt?
   
Loading...