Towa Maoni kuhusu hii picha unafikiria nini kuhusu hii miji Mitatu nchini ? nakuachia kulikoni...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Towa Maoni kuhusu hii picha unafikiria nini kuhusu hii miji Mitatu nchini ? nakuachia kulikoni......

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Nov 15, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,610
  Trophy Points: 280
 2. F

  Fahari omarsaid Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatari hii, hahahahaha
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Anakatiza tu huyo polisi. Na hivi yuko kwenye mteremko atakuwa na kasi kubwa sana ya kuharibu mikoa yote. Ila kuna siku wenye nyumba watashindwa kuvumilia..
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na Tabora
   
 5. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pamoja na yote haya yanayotoke nchini we need to know that Conflicts are the engine of social change and even in in development there is "conflict theory of development" which explain that after being into conflict for a certain period of time people will get into consensus and development come!
   
 6. Kwisimla

  Kwisimla Senior Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kama nimesikia na Iringa pia.......
   
 7. Kimbojo

  Kimbojo JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni viini vya mabadiliko TZ
   
 8. G.O.C

  G.O.C Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni maandalizi mazuri ya vizazi vijavyo. Vijana watakao kuja kufanya kazi/biashara zilizopelekea hizo vurugu watakaa ktk mstari uliowekwa na serekali. Mfano mzuri wapigania uhuru enzi hizo, hawakufaidi matunda yake kwa kipindi hicho. Tuanofurahia uhuru ni sisi. Jamani tujifunze kuwa wasikivu kwa serekali yetu. Maandiko yenyewe yanasema heshimuni mamlaka zenu.
   
 9. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mafuriko????
   
 10. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  kwa hali ilivyo sasa sitashangaa mikoa yenye fujo ikazidi kuongezeka.watu wanazidi kukata tamaa na maisha
   
 11. G.O.C

  G.O.C Member

  #11
  Aug 28, 2013
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ndugu yangu tuheshimu mamlaka. Tofauti na hapo tunatafuta kuwa wakimbizi nchini mwetu. :)
   
 12. taamu

  taamu JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2013
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 3,948
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  Nchi ikifikia kuharibika hakuna hakuna atsyezuia na sana sana itavurugwa na ugumu wa maisha.
   
Loading...