Tovuti za ngono hazijafungiwa Tanzania

Zikifungiwa kabisa chabo zitaongezeka. Ni ngumu sana binadamu kusamehe statehe aliyokuwa amezoea, lazima atafute njia mbadala.
 
Umepakua mizigo ya kutosha sasa unataka wenzako wazimiwe ili uwauzie sio!!
Au ulipiga nyeto mpaka magoti yamelegea that's why unachukia hiyo buster?.
 
Imani yangu ni kwamba mu wazima na mnaendelea vyema na utafutaji wa shilingi ili muweze kuyamudu haya maisha ya duniani.

Ni muda kidogo umepita tangu nianze kuona threads za watu wengine humu Jamii Forums zikilenga kutowepo kwa video za ngono, picha za ngono mitandaoni hasa kwa sisi tuliopo Tanzania. Wengi wetu waliandika kuwa website za ngono zimefungwa,h ii ina maana kuwa watanzania hatukuwa na uwezo wa kufungua hizi tovuti zenye maudhui ya ngono. Kuna waliojaribu kufungua na kuona kuwa ni kweli hazifunguki na waliweza kufungua kwa kutumia VPN (unblocker).

Niliona pia watu wakiandika kuwa wananchi tumenyimwa uhuru wetu binafsi kwa vile tunakosa kuangalia video na picha za utupu. Hizi threads zilipata wafuasi wengi wakilalamika kwa nini wanakosa kuona picha na video za ngono kiurahisi. Hivi mtu kweli unaona kuwa umeonewa kwenye hili?

Nirudi kwenye mada yangu hapo juu, ukweli ni kwamba websites za ngono hazijafungwa , zipo na hata sasa watu wana piga chabo huko, kuanzia picha na hata clip. Niliweza kuangalia na nimepakua mizigo kadhaa kwa kuijilidhisha kama wamefunga au hawajafunga, sikutumia VPN na sina ufundi wowote wa internet hapa nilpo.

Nchi yangu ni ya kiungwana sana, inapenda kila mwana wa nchii hii haijalishi ana tabia mbovu au njema na ninajua kabisa hizi websites za ngono zaweza kuwa ni chukizo kwa kundi la watu fulani hapa nchini kwetu na kama kuna mamlaka inayohusika na kufungia basi wafunge kwelikweli haijalishi watu watasemaje ila tubaki kusema kuwa zimefungwa.
Nashauri zifungwe kabisa yaani hata uki-Google usione chochote na pengine kile kifaa unachotumia ku-Google kizimike.

Video za ngono hazija fungiwa, picha za ngono hazija fungiwa nashauri zifungwe.
Ikitokea kuna watu wazima wenye fahamu kamili wanapita huko na kuzitazama kwa muda wao,kama nchi tunapungukiwa nini!?
 
MTU mzima mwenye akili kamili atatizama hizo picha ili iweje

Wanaotazama hizi picha ni wale ambao wapo addicted tu
 
Ninachoshukuru kwa kiwango cha saikolojia yako Umejiuliza na Kujijibu vema kabisa.

Sasa zamu ya Mimi kukuhoji...
Hivi ukipita mtaani ukamuona mwanao anacheza mpira nyakati za mapumziko ya shule na wakati mwingine ukamkuta ana dundana na mwenzake tena wakati wa shule... Wewe Kama mzazi utamkanya wakati gani kati ya hizo nyakati mbili?

Gari yako unaipeleka sheli wakati gani? Ikiwa na full tank au ikiwa Haina mafuta ya kukuwezesha kusafiri.

Na je, ni Nani mwenye uhitaji wa tabibu? Yule aliye mgonjwa au yule aliyetimamu?

Je? Unataka nikakanye Uzinzi kwenye mada ya kesi ya Mbowe? Au ile ya Kumtafuta Gentamycine? Na huko Ambako unaongelewa/unafanywa uzinzi nimuachie Nani?

Unakerwa Mimi kuwaonya na kuwakumbusha watu juu ya MAPENZI YA MUNGU?

Tafadhali, MASWALI HAYA USINIJIBU MIMI.. JIJIBU KIMYAKIMYA.

Mungu Aliye Hai na Aturehemu.
Wewe ni mnafiki mkubwa
 
Wataharibu kizazi cha vijana wadogo, maana smartphone na tablets zipo nje nje.....madhara ya kisaikolojia na kiroho ni makubwa zaidi.
 
Imani yangu ni kwamba mu wazima na mnaendelea vyema na utafutaji wa shilingi ili muweze kuyamudu haya maisha ya duniani.

Ni muda kidogo umepita tangu nianze kuona threads za watu wengine humu Jamii Forums zikilenga kutowepo kwa video za ngono, picha za ngono mitandaoni hasa kwa sisi tuliopo Tanzania. Wengi wetu waliandika kuwa website za ngono zimefungwa,h ii ina maana kuwa watanzania hatukuwa na uwezo wa kufungua hizi tovuti zenye maudhui ya ngono. Kuna waliojaribu kufungua na kuona kuwa ni kweli hazifunguki na waliweza kufungua kwa kutumia VPN (unblocker).

Niliona pia watu wakiandika kuwa wananchi tumenyimwa uhuru wetu binafsi kwa vile tunakosa kuangalia video na picha za utupu. Hizi threads zilipata wafuasi wengi wakilalamika kwa nini wanakosa kuona picha na video za ngono kiurahisi. Hivi mtu kweli unaona kuwa umeonewa kwenye hili?

Nirudi kwenye mada yangu hapo juu, ukweli ni kwamba websites za ngono hazijafungwa , zipo na hata sasa watu wana piga chabo huko, kuanzia picha na hata clip. Niliweza kuangalia na nimepakua mizigo kadhaa kwa kuijilidhisha kama wamefunga au hawajafunga, sikutumia VPN na sina ufundi wowote wa internet hapa nilpo.

Nchi yangu ni ya kiungwana sana, inapenda kila mwana wa nchii hii haijalishi ana tabia mbovu au njema na ninajua kabisa hizi websites za ngono zaweza kuwa ni chukizo kwa kundi la watu fulani hapa nchini kwetu na kama kuna mamlaka inayohusika na kufungia basi wafunge kwelikweli haijalishi watu watasemaje ila tubaki kusema kuwa zimefungwa.
Nashauri zifungwe kabisa yaani hata uki-Google usione chochote na pengine kile kifaa unachotumia ku-Google kizimike.

Video za ngono hazija fungiwa, picha za ngono hazija fungiwa nashauri zifungwe.
Zimefungiw bana m sion
 
Sawa
naona leo umepiga chabo mpak ukapig nn....!!!
af umeshapakuw mzigo wako kisha ndo unakuja kuleta taarifa.
ila wakizifungia utapiga pesa sana coz utagonga copy za kutosha si umesem mizigo unayo.

af acha umbe....!
Ndugu mwekezaji
 
Hivi VPN ni uchawi gani ishindikane kuiblock? Maana waraibu wanapenyea huko kiuraiiiini !!!
 
Back
Top Bottom