Tovuti za Jakaya Kikwete na NEC-TZ hupata huduma toka kwa Internet Provider mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti za Jakaya Kikwete na NEC-TZ hupata huduma toka kwa Internet Provider mmoja

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bagamoyo, Oct 28, 2010.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,533
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Senior Member wa ZED ametundika thread juu ya wasiwasi ya Kuwa Tume Ya Uchaguzi NEC Tanzania na Mgombea wa Urais kwa CCM, kwa pamoja wanatumia huduma ya mawasiliano ya Intaneti inayotolewa na Internet Provider mmoja (72. 249. 185. 225). MwanaJF ameweka mchoro wa mahusiano kati ya NEC-TZ na website za JK www.jkikwete.com , Ofisi ya waziri mkuu PMO www.pmo.go.tz , www.datavision.co.tz

  Swali la mwana JF ZED nanukuu:

  Hata mtandao wao nec.go.tz una leta wasiwasi kama kweli NEC ni chombo kitakachotuhakikishia uchaguzi huru na wa haki. Hivyo ndivyo mtandao wao unavyo-share IP na mmoja wa wagombea uraisi! Kwa namna hii maswali ni mengi sana... kwanini? Na kama ni IP ni ya serikali kwa nini campaign team ya mgombea itumea IP hiyo? je huku si kukiuka sheria za uchaguzi? Wasiwasi wangu ni hapo ndipo kura zinaweza kuchakachuliwa! Lazima tuchunge kura zetu katika kila stage
  [​IMG]
  Last edited by Zed; Today at 12:49 AM.
  "We can't have a better tomorrow if we are only lamenting about yesterday all the time"
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ni hatari
   
 3. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tumekwisha, what can we do. Hizi taarifa zinatakiwa kuchapwa kenywe magazeti ya kiingireza ili na donor na international observers wazione
   
 4. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Why we should be worried by the NEC fair elections. This is the information about their network! I guess many from JFs are overlooking this network danger!

  nec.go.tzNec.go.tz ("The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage. The website is intended to be a Comprehensive Resource Centre for Tanzania Election. It is also expected to reflect the Commission'broad vision of moving into the Internet way of computing for activities connected with elections and major electoral events") is a domain controlled by two name servers at rimuhosting.com. Both are on different IP networks. The primary name server is ns1.rimuhosting.com. Incoming mail for nec.go.tz is handled by one mail server at go.tz. nec.go.tz has one IP number (72.249.185.225) , but the reverse is datavision.co.tz. Jkikwete.com, jmkikwete.com, jkikwete2010.com, datavision.co.tz, mail.jkikwete2010.com and at least four other hosts point to the same IP. Nec.go.tz use this as a mail server.
   
 5. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo hayo matokeo yatakayotumwa kwa e-mail akina Shamte ndo wanafanya ishu zao...
  Hatutaki kiongozi wa kulazimishwa...
   
 6. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sidhani kwamba ukaribu huu wa NEC network yenye dhamana ya kujumuisha matokeo "computing for activities connected with elections and major electoral events" na network ya IT ya mmoja wa wagombea wa urais ni wa bahati mbaya tu! Kiutaalam hatari ya kuchakachua kura ni kubwa mno!
   
 7. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Hii si bahati mbaya asilani ni mpango uliopangwa kama vile tunavyopata SMS za CCM zisizokuwa na kichwa bila ridhaa yetu wala ridhaa kutoka kwa wamiliki wa mitandao, leo tene nimesikiliza redioni wakrissto wakilaani email account yao kuingiliwa na kutumiwa kwa uchochezi wa kidini, naaamini huu ni mpango mahususi ulioandaliwa ili ushindi wa 80% upatikane kupitia uchakachuaji, lakini bado najiuliza ni vipi hard copy ya matokeo itatunzwa baada ya kuhesabu kura kwani naamini matokeo yatachakachuliwa baada ya kufanya ujanja fulani kwenye computer kupitia IP yao hiyo
   
Loading...