calmdowndear
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 605
- 273
Watu wamekula BILIONI 4 kutengeneza tovuti ambayo haifanyi kazi....mwendelezo wa zile tovuti za wizi na miradi ya wizi ya ICT huko serikalini.
Website inapicha za Nyerere na Karume. Sasa sijui wanatusaidia vipi sisi.
website ya taifa wakati hao wafanyakazi wa serikali wenyewe hawana connection ya internet na emails zao ni za hotmail na huwezi kupata taarifa ya kiwanja au shamba lolote online kipitia website ya WIZARA YA ARDHI.
Ikulu imegoma kuitumia ndio maana wenyewe wanatumia email ya yahooo.
sasa kutumia bilioni 4 kutengenza website ambayo haitumiwi na watu hawataki kuitumia ina maana gani?
hivi kwani lazima tufanye hivi vitu?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/170168-wasiotaka-ikulu-iwe-na-website-hawa-hapa.html