TOVUTI YA TAIFA: Waste of Money, Waste of Time, Waste of Bandwith & Waste of Intellect

calmdowndear

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
605
273
Watu wamekula BILIONI 4 kutengeneza tovuti ambayo haifanyi kazi....mwendelezo wa zile tovuti za wizi na miradi ya wizi ya ICT huko serikalini.

Website inapicha za Nyerere na Karume. Sasa sijui wanatusaidia vipi sisi.

website ya taifa wakati hao wafanyakazi wa serikali wenyewe hawana connection ya internet na emails zao ni za hotmail na huwezi kupata taarifa ya kiwanja au shamba lolote online kipitia website ya WIZARA YA ARDHI.

Ikulu imegoma kuitumia ndio maana wenyewe wanatumia email ya yahooo.

sasa kutumia bilioni 4 kutengenza website ambayo haitumiwi na watu hawataki kuitumia ina maana gani?

hivi kwani lazima tufanye hivi vitu?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/170168-wasiotaka-ikulu-iwe-na-website-hawa-hapa.html
 
Waajiri upya sio kuajiri usalama kwa kazi za kitaaluma kama hizi, huku uwezo wao ni mdogo, waajiri wakata nondo sio vijana wao wa kazi, uwezo wao upo mashakani inapofika taaluma zingine ukiacha hiyo ya siri
 
Watu wamekula BILIONI 4 kutengeneza tovuti ambayo haifanyi kazi....mwendelezo wa zile tovuti za wizi na miradi ya wizi ya ICT huko serikalini.

Website inapicha za Nyerere na Karume. Sasa sijui wanatusaidia vipi sisi.

website ya taifa wakati hao wafanyakazi wa serikali wenyewe hawana connection ya internet na emails zao ni za hotmail na huwezi kupata taarifa ya kiwanja au shamba lolote online kipitia website ya WIZARA YA ARDHI.

Ikulu imegoma kuitumia ndio maana wenyewe wanatumia email ya yahooo.

sasa kutumia bilioni 4 kutengenza website ambayo haitumiwi na watu hawataki kuitumia ina maana gani?

hivi kwani lazima tufanye hivi vitu?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/170168-wasiotaka-ikulu-iwe-na-website-hawa-hapa.html
kichekesho website ya TIC inaonyesha waziri wa biashara ni abdallah kigoda halafu eti wanavutia wawekezaji
 
Back
Top Bottom