Tovuti ya Taifa (tanzania.go.tz website) ina virus!

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,056
5,361
wakubwa naomba mnisaidie ninashida na baadhi ya information kwenye website ya NBS
lakini napata red warning about malicious/malware as you can see by clicking hapa

http://www.tanzania.go.tz/sensa/index.html

NBS_Website.png
 
borther download netscape navigator.ni browser hiyo kama vile mozillah fire fox.it will will work for the site

Wala usijaribu kufungua hiyo link kwa kutumia "Internet Explore"
au hata hiyo "Netscape Navigator" kilichotoke ni kwamba baadhi
ya files za hiyo tovuti ya taifa zimekuwa "compromised". Mara
nyingi ni files zenye neno ( index au .js ).

Hawa jamaa (harckers) wakishaweka hizo links kwenye hizo files,
wakati wowote mtu akiita hiyo page hapo chini...

matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2002)

... hiyo malicious link (pornoscash.com/, send29931.cn/) inakuwa
parsed (called). Hapo ndipo computer yako inapotumika kama
zombie kukonnect na botnet.

Sasa Kwanini Onyo Lipo Firefox Na Siyo Browser Nyingine

Sababu ya firefox na Safari (browsers) kuonyesha hiyo message
ni kutokana na wao kuwa na ushirikiano na google. Google kutokana
na kuwa na zaidi ya computa milioni moja sehemu mbalimbali duniani
wanaweza spider/crawl pages haraka sana na kutambua kama kuna
malicious links kwenye page yeyote.

Ili (Google) waweze kuendelea na biashara yako ni lazima walinde
watumiaji wao ndiyo maana wakitambua kwamba kuna malicious link
huwa wanato onyo hili "This site may harm your computer."

kama utatumia site operator ( site: ) ya google kweye search bar...
yaani site:tanzania.go.tz. ( Au gonga hapa uone ) utaona kweye
SERP ( Search Engine Result Pages ) wanaonya...

"This site may harm your computer".

Google wapo makini sana kweye hii kitu ili kulinda maslahi yao.

Sasa Firefox ( kutokana na kujiita kuwa ni "the safest brower" )
wakaamua kutumia data za google kuangalia kama page
imesharipotiwa kama ni malicious. Hii ndiyo sababu ya kuona hiyo
warning utumiapo firefox na sio wakati unatumia browser nyingine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom