Tovuti ya Serikali

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Waheshimiwa!

Nilikuwa ninaperuzi (hili ni neno pia?) kwenye lile/ile tovuti ya Serikali (www.tanzania.go.tz), ambayo ninaamini inakuwa hosted na iliyokuwa Kamisheni ya Mipango (Planning Commission), kwa sasa ni Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango, Uchumi na Uwezeshaji... nenda kabofye www.plancom.go.tz uone kitakachotokea.

Najua kule Mipango kuna wataalam wa ICT, ambao ndio wana-update hiyo tovuti ya Serikali. Nitawasamehe, kwa kuwa wao sio walioiandaa. Inasadikika kwamba Dola za Kimarekani 50,000/= zilitumika kuiandaa tovuti hiyo, kwa mfumo uliokuwa unatumika zamani, yaani, Selective Tendering, kabla ya hii sheria ya Public Procurement kuja kuweka mambo sawia... labda?

Anyway, sikumbuki jina la kampuni iliyopewa zabuni hiyo, lakini, hata tukifanya comparison na jirani zetu wa Kenya (www.kenya.go.tz) ambao nao bado wanajikongoja, utaona mwenyewe tofauti kubwa kati ya tovuti ya Serikali ya Kenya na ile ya Serikali ya Tanzania.

Kwanza kabisa, habari mpya kutoka Ikulu (ambazo zinatakiwa kutolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ofisi ya Rais, ikiwa ama kwenye Tovuti ya Ikulu au ya Kurugenzi yenyewe... changamoto kwa Kaka Salva...) zinapatikana SASA kwenye tovuti hii ya Serikali! Mwe! Mi si Mkaguru wala Mpogoro, lakini, Mwe!

Hiki ni kichekesho cha mwaka. Nakumbuka enzi zile za Kaka Ben, tovuti ya Ikulu ilikuwa inafanya kazi vizuri sana, na tulikuwa tunaweza hata kupata picha za Kaka Ben alipokuwa akizuru huku na kule, ndani na nje ya nchi. Leo hii nenda katafute za Kaka Jakaya, kama utazipata... kama kuna mtu anajua aniambie...

Tovuti ya Serikali ni aibu na fedheha kwa nchi yetu hii. Wakinipa kazi ya kuikarabati nitaifanya kwa robo tu ya gharama zilizotumika hapo awali! Sitanii kwa hili!

Tovuti inatakiwa kuwa na very simple HTML, wala haihitaji sijui Cascading Style Sheets, wala sijui PHP, Java, ActionScript na madudu mengine. Simple clean HTML, pamoja na cool graphics...

Mgeni akifika pale, auone UTANZANIA wetu, kwani hakuna hata picha ya Twiga pale! Hakuna! Mlima Kilimanjaro ndio usiseme! Hakuna!

Ni simple kuweka vitu sawa, lakini kwa kuwa kuna "mtoto wa shemeji yangu" au "mtoto wa mjomba wangu" ambaye anajua vizuri kazi hii ya Web design, basi ngoja nimpe yeye, aje kutusaidia...

... ndivyo walivyokuwa wakifanya?

Tathmini yangu? Hii tovuti ya Serikali ni sawa na High School Graduation Project, ya mwanafunzi yeyote katika high school yeyote, Marekani! Na huo sio mfano mzuri...

Jamani, basi kungekuwa na direction uniformity, kutoka kurasa hadi kurasa... mimi nilipotea baada ya dakika tano hivi, lakini kwa kuwa nilikuwa ninafanya uchunguzi, nikasema nibakie nichambue... ingawa kweli nilipotea.

Wataalam tupo, tuiteni, tutaifanyia kazi! Aibu gani hii?
 
ndo hivyo kwani hujui kuwa nchi hii italiwa na wenye meno na ni kama shamba la bibi kila mwenye njaa huwa anakuja kuvuna na kuondoka
 
mambo ya aibu sana,tatizo watendaji wengi wa serikali ni vihiyo na siku zote huwa wanaangalia maslahi mbele badal ya kuangalia utaifa..kuna website nyingi za serikali ila ni za aibu sana,hazifanyiwi update kila mara..zipo tu

check hii http://www.kenya.go.ke/ na hata hauwezi kuilinganisha na www.tanzania.go.tz siamini kama hakuna watu wa kuifanyia changes website hii..nasikia toka ametoka mkpa maendeleo ya ICT serikalini hakuna tena..ndio maana hata website ya ikulu imekufa,,check hii ya ikulu ya kenya http://www.statehousekenya.go.ke/
ni website zinazofutia sana.

juzi juzi naona TCRA walijaribu kutoka na webiste nzuri kidogo japo inachelewa kuload ila kuna ubunifu flan..check hii ya ministry of communication ya kenya http://www.information.go.ke/
ya TCRA TCRA | MWANZO

mie naamini kuna wataalam wa kutosha ila wanatakiwa wawezeshwe vya kutosha,siop kazi wanapewa wahindi kama powers computer ..kisa Rushwa,
hivi sheria ya uraia ya Mwaka 1995 itaanza ktumika lini?kwanini hawa wadosi nsio huwa wanapata sana tenda serikalini?kwanini hawa ndio wanoichangia pesa nyingi sisiemu wakti wa kampeni?

ushauri wa Bure kwa serikali,pale TCRA inabdi paboreshwe..kuna watu wa ovyo sana na hakuna ma expert kabisa..wanajidai experience ila hamna kitu,wababa ishaji,kuna vijana wako katika sekta binafsi na ni wataal..mfano pale UCC,
 
Waheshimiwa!

Nilikuwa ninaperuzi (hili ni neno pia?) kwenye lile/ile tovuti ya Serikali (www.tanzania.go.tz), ambayo ninaamini inakuwa hosted na iliyokuwa Kamisheni ya Mipango (Planning Commission), kwa sasa ni Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango, Uchumi na Uwezeshaji... nenda kabofye www.plancom.go.tz uone kitakachotokea.

Najua kule Mipango kuna wataalam wa ICT, ambao ndio wana-update hiyo tovuti ya Serikali. Nitawasamehe, kwa kuwa wao sio walioiandaa. Inasadikika kwamba Dola za Kimarekani 50,000/= zilitumika kuiandaa tovuti hiyo, kwa mfumo uliokuwa unatumika zamani, yaani, Selective Tendering, kabla ya hii sheria ya Public Procurement kuja kuweka mambo sawia... labda?

Anyway, sikumbuki jina la kampuni iliyopewa zabuni hiyo, lakini, hata tukifanya comparison na jirani zetu wa Kenya (www.kenya.go.tz) ambao nao bado wanajikongoja, utaona mwenyewe tofauti kubwa kati ya tovuti ya Serikali ya Kenya na ile ya Serikali ya Tanzania.

Kwanza kabisa, habari mpya kutoka Ikulu (ambazo zinatakiwa kutolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ofisi ya Rais, ikiwa ama kwenye Tovuti ya Ikulu au ya Kurugenzi yenyewe... changamoto kwa Kaka Salva...) zinapatikana SASA kwenye tovuti hii ya Serikali! Mwe! Mi si Mkaguru wala Mpogoro, lakini, Mwe!

Hiki ni kichekesho cha mwaka. Nakumbuka enzi zile za Kaka Ben, tovuti ya Ikulu ilikuwa inafanya kazi vizuri sana, na tulikuwa tunaweza hata kupata picha za Kaka Ben alipokuwa akizuru huku na kule, ndani na nje ya nchi. Leo hii nenda katafute za Kaka Jakaya, kama utazipata... kama kuna mtu anajua aniambie...

Tovuti ya Serikali ni aibu na fedheha kwa nchi yetu hii. Wakinipa kazi ya kuikarabati nitaifanya kwa robo tu ya gharama zilizotumika hapo awali! Sitanii kwa hili!

Tovuti inatakiwa kuwa na very simple HTML, wala haihitaji sijui Cascading Style Sheets, wala sijui PHP, Java, ActionScript na madudu mengine. Simple clean HTML, pamoja na cool graphics...

Mgeni akifika pale, auone UTANZANIA wetu, kwani hakuna hata picha ya Twiga pale! Hakuna! Mlima Kilimanjaro ndio usiseme! Hakuna!

Ni simple kuweka vitu sawa, lakini kwa kuwa kuna "mtoto wa shemeji yangu" au "mtoto wa mjomba wangu" ambaye anajua vizuri kazi hii ya Web design, basi ngoja nimpe yeye, aje kutusaidia...

... ndivyo walivyokuwa wakifanya?

Tathmini yangu? Hii tovuti ya Serikali ni sawa na High School Graduation Project, ya mwanafunzi yeyote katika high school yeyote, Marekani! Na huo sio mfano mzuri...

Jamani, basi kungekuwa na direction uniformity, kutoka kurasa hadi kurasa... mimi nilipotea baada ya dakika tano hivi, lakini kwa kuwa nilikuwa ninafanya uchunguzi, nikasema nibakie nichambue... ingawa kweli nilipotea.

Wataalam tupo, tuiteni, tutaifanyia kazi! Aibu gani hii?

Hivi ndivyo nchi yetu inavyoendeshwa sasa hivi kishkaji kishkaji tu, hatuwezi kufika popote hadi pale tutakapoweza kuwaondoa hawa maharamia waliovamia nchi yetu. Uliza swali lilitolewa hapa Salva sio Mtanzania (Hakuna aliyejibu) anawezaje leo kuona uchungu wa kuweka mambo sawa? Hawa ndio wale ambao hivi sasa wanafikiria kujuza watoto wao na hata wajukuu wakipata kwenye serikali yetu na kutumia rasilimali za taifa bila soni. Where are we going?
 
mambo ya aibu sana,tatizo watendaji wengi wa serikali ni vihiyo na siku zote huwa wanaangalia maslahi mbele badal ya kuangalia utaifa..kuna website nyingi za serikali ila ni za aibu sana,hazifanyiwi update kila mara..zipo tu

Siamini kama hakuna watu wa kuifanyia changes website hii..nasikia toka ametoka mkpa maendeleo ya ICT serikalini hakuna tena..ndio maana hata website ya ikulu imekufa
ni website zinazofutia sana.

juzi juzi naona TCRA walijaribu kutoka na webiste nzuri kidogo japo inachelewa kuload ila kuna ubunifu flan..check hii ya ministry of communication ya kenya http://www.information.go.ke/
ya TCRA TCRA | MWANZO

mie naamini kuna wataalam wa kutosha ila wanatakiwa wawezeshwe vya kutosha,siop kazi wanapewa wahindi kama powers computer ..kisa Rushwa,
hivi sheria ya uraia ya Mwaka 1995 itaanza ktumika lini?kwanini hawa wadosi nsio huwa wanapata sana tenda serikalini?kwanini hawa ndio wanoichangia pesa nyingi sisiemu wakti wa kampeni?

ushauri wa Bure kwa serikali,pale TCRA inabdi paboreshwe..kuna watu wa ovyo sana na hakuna ma expert kabisa..wanajidai experience ila hamna kitu,wababa ishaji,kuna vijana wako katika sekta binafsi na ni wataal..mfano pale UCC,

Mkubwa a.k.a Kipanga, nini definition yako ya kihiyo? Unauhakika kuwa wafanyakazi wa serikali ni vihiyo? mbona hao wafanyakazi wa serikali wakienda private sector na mataifa ya kimataifa wana deliver. mimi sio mfanyakazi wa serikali wala sijawahi kuwa mfanyakazi wa serikali ila sidhani kuwa wafanyakazi wa serikali ni vihiyo.
 
Serikali yenyewe ni kihiyo. Ukihiyo ni kudai una sifa ambazo huna. Hii serikali imedai ina uwezo wa kuleta maendeleo kwa kasi mpya wakati sio kweli. Ni kweli utekelezaji wa shughuli za serikali ulikuwa wa kasi zaidi wakati wa Nchee Nkapa. Hata waliokuwa wanasamehewa kodi walikuwa wanaonekana kwenye tovuti la serikali mara moja. Uwazi ulilazimisha hata kiasi cha fedha kilichokuwa kikitolewa wilaya mbali mbali kiwe kinaorodheshwa kwenye tovuti ya serikali.

Vihiyo walioko serikalini sasa wameacha si tovuti la serikali kuoza tu, bali hata miradi ya maji na barabara waliyorithi kwa Nchee Nkapa wameacha ife.

Tunachoshuhudia ni dalili za ugonjwa, moja baada ya nyingine. Ugonjwa wenyewe ni huu mserikali wa Waswahili. Maneno mengi, matendo hakuna. Yaani wamekaakaa tu kama watu walio kwenye mdundiko vile.
 
Hivi unategemea kitu gani ukimpa urais mtu msaniia aliyezaliwa na akina Pwagu na Pwaguzi bin unyounyo,foko jembe.
 
Mkubwa a.k.a Kipanga, nini definition yako ya kihiyo? Unauhakika kuwa wafanyakazi wa serikali ni vihiyo? mbona hao wafanyakazi wa serikali wakienda private sector na mataifa ya kimataifa wana deliver. mimi sio mfanyakazi wa serikali wala sijawahi kuwa mfanyakazi wa serikali ila sidhani kuwa wafanyakazi wa serikali ni vihiyo.

ni wangapi unawaojua wametoka serikali na wako nje wana deliver?au unamsemea mama Asha Migiro?si huyu alikuwa Mlimani pale

au unamsemea Prof. Mwandosya?..huyu naye katoka mlimani

mimi nimefanya sana kazi na watu wa serikali na ambao wao wanawata wataalam..ovyo sana,mpaka aibu..kupresent vitu hawawezi na ndio maana ukiangalia bajeti za serikali kila siku ni za kucopy na kupaste,

kuna vijana wapo wasomi serikalini ila hawapewe nafasi..mfano pale wizara ya Fedha,kuna vijana wana CPA ila wameacha wakiangalia mafile huku wangetakiwa kutoa inputs za maendeleo.

hata hivyo mie kipanga sana tu kwa taarifa yako!!
 
Mkombozi fisadi;

Mkuu hapa ndio umenena, kama wewe ni kipanga ni kwa faida ya taifa na dunia kama unautumia ukipanga wako. Any way ulichosema kuwa kunavijana lakini hawana nafasi ya kudeliver hilo ndilo nalo jua. Utendeji wa serikalini unauwa creativity ya mtu kabisa, Kuna chen ya komandi kitu kikitoka kwa mkuu hadi kwa desk ofisa ni procedure tuu ila maamuzi yalisafanywa in advance. Unapopata dokezo afisa fulani advice, unakuta maamuzi yalishafanyika. Unajua serikali maofisa wanafanya kazi then boss anasahihisa na kusigni? Mimi nawajua vijana wengi sana tulikuwa nao Mlimani wapo Hazina, mpango, BOT etc na walikuwa vipanga tuu.
 
maneno yako yanaonesha unafanya kazi na serikali..mambo ye dokezo niliyaona huko serikalini..
 
uko wizara gani mzee,waambie wafanye updates katika hizo website
 
Mkuu mimi siko wizarani wala sifanyi kazi serikali ila kidogo tuu nimepingana na wewe mkuu ila usimindi. Mimi niko mbali sana na hiyo serikali Mimi ni mbeba maboxi tuu huku kwa watu ila na washikaji nilipiga nao uchumi mlimani wako serikalini na najua uwezo wao. Ila mara nyingi natembelea website za serikali kama www.mof.go.tz, http://www.nbs.go.tz/, http://www.bot-tz.org/ na nyingine mkuu amabazo huwa nazitumia kuandika paper zangu. Unaweza ukazitembelea pia sio mbaya sana.
 
poa,kwanini unabeba mabox..njooni huku tupigane tulete maendeleo katika nchi yetu..mie nina umia sana nikiona kuna maendeleo duni katika nchi yetu ,hasa katika suala la ICT,yaani tupo nyuma sana mpaka inatia aibu,unakuta kuna mkurugenzi katika serikali hajui hata ku-update antivirus..hata kuadd printer,vitu ambavyo ni Basic..

kazi zipo nyingi sana huku nyumbani,pitia http://www.tzonline.org/consultants/
 
Nashukuru mzee kwa taarifa hizi. Ni kweli kabisa kuna watu wengi sana wa Tanzania na waafrica kwa ujumla wapo nnje wanafanya kazi ambazo sio za hadhi sana bali wanafuata malisho ya kijani mkuu sio kama hawataki kuja nyumbani kufanya kazi nzuri. Huko nyuma kuna thread niliwahi kuanzisha inaitwa is home place we dont want to be? soma hapa http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=4131.
kama sikosei kila mtu anapenda kuwa khuko na hakika taifa na bara zima linapoteza wataalamu wengi sana wako nnje.
 
nimefurahi kuona mada hii hapa lakini nimesikitika sana kuona suala hili limefanywa kama siasa sasa , wakati ni suala la utaalamu zaidi na waachiwe watu wanaodeal na ICT katika upande wa WEB waweze kuelezea kwa umakini na uzuri zaidi , sasa tunapofanya suala hili siasa tunakosea na kupwaya sana samahanini kwa maneneno haya

Bwana mwanahaki umejiita mtaalamu upo katika hiyo ujumbe wako ulioandika , lakini hujasema umefanya jitihada gani za kuwasiliana na wizara husika au mtengeneza tovuti hiyo uweze kumsaidia na kumwonyesha zaidi na wakati unaenda huko inabidi na wewe uende na mifano ya tovuti ambayo umewahi kutengeneza au kushiriki kitengeneza hata miradi kumbuka hapo sio kupiga picha za filamu ambapo unamwambia mtu kaa hivi na vile pande juu ya jiwe vua shati , vaa pensi inama inuka , katika tovuti cha kwanza ni maoni ya watu wanasemaje katika toleo la kwanza basi tupe link ya tovuti yako wewe ili tuchukulie mfano ili tufikirie zaidi

na kama umewahi kumwandikia mtengeneza tovuti huyo au watu waliotengeneza tovuti hiyo barua ya marekebisho unaweza kutueleza ulisema nini au angalau nataka ya barua hiyo , samahani sana umeleta mada hapa kwa sababu umeona wale jamaa ikulu hawawezi kukusaidia ungekuwa umepata ulaji pengine usingeleta hapa kama watu wengi walivyo , sasa tunaomba copy basi ya jitihada zako kwa manufaa ya umma .

Mkombozi fisani kumbuka katika IT kuna vitengo vingi sana kuna wengine wamesoma IT na wako maofisini na hawajui kupdate virus vile vile kama hujui , antivirus nyingi siku hizi zenye license zinafanya automatic updates hauhitaji mtu kuhangaika , tafadhali rekebisha msemo wako huo ulio utumia , mwisho wa siku kazi zote za computer , ufundi na msaada mwingine inabakia kuwa katika muongozo na maelekezo ya IT wao aliyeajirwa katika offisi husika

mchana mwema
 
Waheshimiwa!

Nilikuwa ninaperuzi (hili ni neno pia?) kwenye lile/ile tovuti ya Serikali (www.tanzania.go.tz), ambayo ninaamini inakuwa hosted na iliyokuwa Kamisheni ya Mipango (Planning Commission), kwa sasa ni Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango, Uchumi na Uwezeshaji... nenda kabofye www.plancom.go.tz uone kitakachotokea.

Najua kule Mipango kuna wataalam wa ICT, ambao ndio wana-update hiyo tovuti ya Serikali. Nitawasamehe, kwa kuwa wao sio walioiandaa. Inasadikika kwamba Dola za Kimarekani 50,000/= zilitumika kuiandaa tovuti hiyo, kwa mfumo uliokuwa unatumika zamani, yaani, Selective Tendering, kabla ya hii sheria ya Public Procurement kuja kuweka mambo sawia... labda?

Anyway, sikumbuki jina la kampuni iliyopewa zabuni hiyo, lakini, hata tukifanya comparison na jirani zetu wa Kenya (www.kenya.go.tz) ambao nao bado wanajikongoja, utaona mwenyewe tofauti kubwa kati ya tovuti ya Serikali ya Kenya na ile ya Serikali ya Tanzania.

Kwanza kabisa, habari mpya kutoka Ikulu (ambazo zinatakiwa kutolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ofisi ya Rais, ikiwa ama kwenye Tovuti ya Ikulu au ya Kurugenzi yenyewe... changamoto kwa Kaka Salva...) zinapatikana SASA kwenye tovuti hii ya Serikali! Mwe! Mi si Mkaguru wala Mpogoro, lakini, Mwe!

Hiki ni kichekesho cha mwaka. Nakumbuka enzi zile za Kaka Ben, tovuti ya Ikulu ilikuwa inafanya kazi vizuri sana, na tulikuwa tunaweza hata kupata picha za Kaka Ben alipokuwa akizuru huku na kule, ndani na nje ya nchi. Leo hii nenda katafute za Kaka Jakaya, kama utazipata... kama kuna mtu anajua aniambie...

Tovuti ya Serikali ni aibu na fedheha kwa nchi yetu hii. Wakinipa kazi ya kuikarabati nitaifanya kwa robo tu ya gharama zilizotumika hapo awali! Sitanii kwa hili!

Tovuti inatakiwa kuwa na very simple HTML, wala haihitaji sijui Cascading Style Sheets, wala sijui PHP, Java, ActionScript na madudu mengine. Simple clean HTML, pamoja na cool graphics...

Mgeni akifika pale, auone UTANZANIA wetu, kwani hakuna hata picha ya Twiga pale! Hakuna! Mlima Kilimanjaro ndio usiseme! Hakuna!

Ni simple kuweka vitu sawa, lakini kwa kuwa kuna "mtoto wa shemeji yangu" au "mtoto wa mjomba wangu" ambaye anajua vizuri kazi hii ya Web design, basi ngoja nimpe yeye, aje kutusaidia...

... ndivyo walivyokuwa wakifanya?

Tathmini yangu? Hii tovuti ya Serikali ni sawa na High School Graduation Project, ya mwanafunzi yeyote katika high school yeyote, Marekani! Na huo sio mfano mzuri...

Jamani, basi kungekuwa na direction uniformity, kutoka kurasa hadi kurasa... mimi nilipotea baada ya dakika tano hivi, lakini kwa kuwa nilikuwa ninafanya uchunguzi, nikasema nibakie nichambue... ingawa kweli nilipotea.

Wataalam tupo, tuiteni, tutaifanyia kazi! Aibu gani hii?
Huu uzi huwa unanipa hasira sana, yaani basi tu, jamaa wagumu kweli kwanini hata wasiwe wanafanya kwa competition ili kuwapa vijana wabunifu nafasi na kuona tovuti nzuri zaidi.

Kuwa na major elements katika tovuti hakumfanyi mbunifu afanye vibaya ila lazima azidishe ubunifu.

Ushauri wangu ni kuwa tusitumie mate na wino upo, kwani mkitaka mfumo mkaweka competition na dau unafikiri mtakosa tovuti nzuri?

Ega hawana ubunifu wowote nasema tena hawana na hizo kampuni za nje hazifai.

Mkiona hamwezi kupata wekeni competition muone kuna vijana wazuri wengi wamezagaa mtaani acheni masihara.
 
Back
Top Bottom