Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by robietz, May 17, 2011.

 1. r

  robietz Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama nilivyo wa habarisha hapo nyuma kwamba kuna tovuti ya minada niliiona katika harakati zangu za kubofya bofya hapa na pale kwenye mtandao lakini ilikua bado aija anza. Natumai wengi mlitembelea link nakukuta message ya kwamba "4 days left to take on a new look"

  Leo baada ya siku 4 nimetembelea tena hii tovuti www.auctionmart.co.tz nakukuta kweli imeaanza. Nimeona ni kitu ambacho kweli kiki endelezwa kinaweza kikawa na manufaa kwa Wantazania.

  Nitaendelea kubofya nikitafuta teknoligia nyingine za biashara na kuziwasilisha kwenye hili jukwaa ili wote tujadiri tuone ni namna gani zita weza saidia biashara hapa nchini

  Wenu ktk kujenga Taifa
   
 2. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni maendeleo lakini mnatakiwa muiboreshe zaidi. Najua wewe ni miongoni mwa wa husika. Cha kufanya wekeni options za bid na buy clear. Wekeni option za card payment na delivery. Hao wanaolist hizo product mnasecurity yoyote yaani wakilipwa hawawezi kudhulumu au ni biashara ya ana kwa ana? Nyie mko registered?? Maana mnatakiwa mlipe kodi, nadhani mnacharge kwa watu wanaolist.
   
 3. r

  robietz Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  well kwa vyovote vile nitaonekana kama mu husika coz nimekua niki ifuatilia kwa karibu na wausika nimekua nikiwasiliana nao nakubadirishana nao mawazo. Ni kweli wamejisajili kama kazitech online na nime proove kupitia tovuti ya brela alafu kuhusu safety na payments wame elezea kwenye link ya Safe Trading
   
 4. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hizo bidding na purchase mbona zimechanganywa sasa? Au hizo ni min bid? Chungulia ebay upate kaujuzi basi!
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  nikinunua kitu halafu muuzaji akaingia mitini narudishiwa pesa?
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Current Bid: TSHS
  Bid Increment: TSHS
  Your maximum bid: $
  this is confusing. why mix currencies?
  Some Bid Increments are too high which do not attract competition
   
 7. A

  Akiri JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Do mi sielewi chochote hapo, sasa ntajuaje kama mi ndiyo nimeshinda na ntawalipaje pesa yao? hope mtanifundisha kwa upendo
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mngewekeza vya kutosha jamani: hiyo website haivutii hata kidogo!
   
 9. r

  robietz Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenye section ya safe trading naona wameandika kua ukinunua toka kwa verified sellers na bidhaa ikawa siyo utarudishiwa pesa yako lakini kwa wale sellers ambao siyo verified ni vizuri uwasiliane nao kabura ya kulipa
   
 10. r

  robietz Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well ukishinda unapata notification kwenye mail yako na kufuatana na maelezo kwenye section ya safe trading kama Muuzaji ni Verified Seller utaweza lipa kwa kutumia account yako unayo tengenezewa online au kama siyo verified itabidi uwasiliane nae then muone ni namna gani mta kamilisha biashara yenu
   
 11. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa sisi wengine haya ni mambo mapya sana, tunahitaji kueleweshwa tafadhali sana
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,975
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Tumekupata mkuu.
   
 13. K

  KVM JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  Na mimi nimeitembelea. Kikubwa katika biashara ni kuwa wakweli. Nimeona tangazo la pikipiki ya Honda inayonadiwa na kuwa imetembea kilometa 1200. Ukitazama picha ya hiyo pikipiki imechoka kwelikweli. Kitu kama hiki kinafukuza wateja kwani watajua kuwa hiyo ni tovuti ya wababaishaji tu.


  [​IMG]
   
 14. r

  robietz Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well hizo ni details wameweka Drizzle auction Mart ingawa ni verified sellers.. Uenda walikosea. Tovuti ya auctionmart.co.tz ni kwamba inawezesha watu wote kukutana na kuuza au kununua bidhaa mbali mbali. Wapo wauzaji ambao ni verified na wale wasio kua verified. Kwahiyo unapo nunua inabidi uzingatie ili nadhani. Maoni yenu nime ya chukua na kuyatuma kwa administrator wa hiyo tovuti. Natumai atayajibu ikiwezekana nime muomba atembelee hii forum ili aweze kupata hizi changamoto
   
 15. r

  robietz Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimewaandikia mail nakuwajulisha kuhusu changamoto zote natumai watajiunga katika hii discussion soon. Hope kita eleweka. Lakini pia ukipata mda tembelea hiyo tovuti ujaribu soma baadhi ya maelekezo uenda ukapata idea kidogo
   
 16. A

  Akiri JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa majibu mazuri mkuu, basi hii kampuni ikianza hiyo jun tutakuwa tunaifuatilia kwa karibu .
  wasalaam
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  how do you verify sellers?
   
 18. k

  kazitech Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante Sana robietz kwa support yako. I recognise your support and thanks a lot to everyone in this forum, Many thanks coz I've read through it and to be honest I've learned a lot. Well Labda nijitambulishe, mimi ni webmaster wa www.auctionmart.co.tz na ninayo furaha kubwa sana kua hapa nakupata changamoto mbali mbali ambazo naamini zita saidia kwa kiasi kikubwa kuiboresha tovuti yetu pale penye mapungufu.
  Labda nianze nakujibu swari lako EMT la "how do you verify sellers?"
  Well the seller must follow the instructions provided on our site through this link Become Verified(Please click to visit for more information). Once we've receive a request from the seller needing to be verified we visit them to verify their locations and business after which we list them in our Verified Seller's section and thereby guarantee what they list with regard to the agreement that we get in with them
   
 19. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 60
  Hebu lets take break na tuwasupport watanzania wanapojaribu kufanya jambo zuri,mbona watu wanaroho za kutu na za kwa nini? Lets support them bana
   
 20. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Sijaona bado mtu mwenye roho ya kutu katika hao waliopost, Huenda uelewa wako hautoshi kuelewa wadau wana maana gani kuuliza mambo yote hayo. Kufanya biashara na mtu usiyemfahamu ni risk; hivyo ni muhimu kufanya risk asessment kwanza kabla haujaamua! Hata ebay na amazon watu huwa wanapoteza vilevile, a sisi kama watanzania ni muhimu tuwasapoti hawa jamaa kwa sababu wanaturahisishia upatkanaji wa budhaa mbalimbali kwa bei nafuu.
   
Loading...