abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 850
- 781
Tovuti ya Tanzapages inawakaribisha wadau na wajasiliamali kusajili biashara zao bure mtandaoni kwa kutumia tovuti hii www.tanzapages.co.tz. Wafanyabiashara wadogo na wakubwa, wanaweza kuitumia tovuti hii kuweka biashara zao mtandaoni zikiambatana na maelezo ya biashara wanazofanya. Ikiwa pamoja na picha za shughuli na huduma watoazo, saa za kufungua na kufunga biashara zao. Tovuti inawawezesha pia wenye nyumba na madalali kuweka matangazo ya kuuza na kupangisha nyumba, kuuza na kukodisha magari, pia kutangaza nafasi za ajira. Kwa watembeleaji na wateja wa biashara hizi zilizojisajili na tovuti hii, wanaweza kuandika maoni na uzoefu wa huduma za wateja kuhusu biashara hizi. Tovuti hii pia imeundwa kisasa na inawawezesha watumiaji kuwasiliana moja kwa moja kutoka kwenye simu zao za mkononi. Tembelea sasa www.tanzapages.co.tz ili usajili biashara yako ili izidi kutambulika mtandaoni!