Tovuti ya mambo ya Afya

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
195
wadau,Timu nzima ya AfroIT kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya,tupo mbioni kukamiliusha hatua ya kwanza ya tovuti ya afya.Tovuti ambayo itakuwa inakuletea mambo mablimbali yanayohusu afya.

Hivyo,kwa sasa bado tunahitaji maoni yako katika kufanikisha hili.​
 

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,555
2,000
mnaweza kuweka jina lililo karibu na wananji? tanzmed imeekaa kikoloni sana, athawaiz ni bonge ya aidia itatusaidia wengi.
 

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,000
member no 1 ni mimi kwani hapo kweli mmegusa jamii kisawa sawa kwani hili haina cha nini wala nani thenkyuuuuuuuu!!!!!!!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom