cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 651
Habari wadau,napenda kujulishwa tovuti ya "law school of Tanzania" ina tatizo gani kwani kila siku nimekuwa nikifungua nakutana na matangazo yaleyale ya zamani na ukiwapigia simu yao ya TTCL wanakujibu endelea kufungua kila siku utapata majibu, na hasa ni kuhusu usahili wa wanaotaka kujiunga na shule hiyo kwani walisema mwezi februari batch ya kwanza ya 2016/17 wataingia.