Tovuti ya Bunge: Mh. Sitta bado Spika wa Bunge!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti ya Bunge: Mh. Sitta bado Spika wa Bunge!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magehema, Dec 7, 2010.

 1. M

  Magehema JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haya ni mambo ya kawaida kabisa katika tovuti mbali mbali, habari nyingi huwa zimepitwa na wakati. Cheki hii hapa
  Parliament of Tanzania
   
 2. k

  kayumba JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ukiangalia vizuri utaona kuwa habari zilizopo kwenye hii website zinazungumzia wabunge na Bunge la 2005 - 2010. Kweli hapa mkuu inabidi wapafanyie kazi, japo sishangai sana kwasababu ilichukua miezi kadhaa kubadili kuwa Waziri Mkuu ni Pinda badala ya Lowasa pamoja na kwamba magazeti yalikuwa yakiandika mapungufu yaliyoko kwenye website ya serikali. Kama hatuna vijana wa IT wakutosha ni bora serikali iwape vijana wetu ajira!
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jamani Jambo Kama hili unaleta hapa lijadiliwe kweli?Mh wastage of resources kwa maoni since we do have a bunch of bunning issues hakika
   
 4. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kuna baadhi ya majina kama, Dr Slaa Wilbrod, Abdulaziz Mohammed Abdi, Masilingi, Masha, Dr Burian Batilda , n.k Bado yamo. wakati siyo Wabunge. hii inatia aibu.
   
Loading...