Tovuti hizi nazo zina usajili wa Tanzania?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Ningeomba kujua kama tovuti hizi pia zina usajili wa Tanzania

IMG-20161216-WA0091.jpg
 
PhD feki la chemistry linafanya kazi
Haaaaa
Nafikiri sasa ndo wakiona hivi wanatama wakute
Wale jamaa wote wanaowakosoa kwa pamoja,
Nafikiri watafurahi sana.
 
Huyu mange kimambi nae kawakalia kooni
Wakimpata watampoteza kama walivyompoteza
Fulani mwaka fulani mpaka sasa hajalikani aliko
Lakini kwa kuwa ukifikiri umefanya jambo kwa siri basi tambua kuna mtu mmoja tayari amegundua
 
Mawakili wa Maxence Melo wameshapata hoja hapo.

Nyie mlio mkamata Maxence Melo kwa maagizo ya Master wenu Mpuuzi wa mwisho hapa duniani nawapeni leo laana kali kuwa kwa aina ya unyanyasi mliyomfanyia Mtanzania mwenzenu huyo na kama hadi hiyo Jumatatu hamtamwachia nawahakikishieni yatawapateni makubwa ambayo yatatokana na maombi yangu makali ninayomwomba Mwenyezi Mungu awashushieni na bahati mbaya sana sijawahi kumwomba Mungu jambo na asinitekelezee.

#FreeMaxenceMelo#
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom