Tovuti 10 zinazoongoza kwa mauzo ya simu za iphone Tanzania. Kwa bei nzuri na uhakika

Aug 24, 2021
27
16
Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji wa huduma nyingine nyingi ambazo zinatuwezesha. Kuongeza ufanisi katika kazi zetu na masomo yetu.

Ikiwa ni wakati huu ambao watu wengi wanahamia katika huduma za ki-digitali. Tunakumbushwa kutumia mitandao ya kijamii. Na mitandao mingine kama youtube na google ili kufanya biashara.
Tuakiangalia pia pale ambapo kunauhitaji sana wa bidhaa flani. Watu huwa wanaitafuta kwenye mitandao mbali mbali. Wakiamini kuwa wataipata kwa njia rahisi na ya haraka. Ni kweli kuwa mitandao inatupa urahisi wa kupata huduma iliyo sahihi na yenye tija.

Ila sa nyingine tunahitaji kujua kama tovuti tulio itembelea je ni sahihi au haipo sahihi. Au je inajulikana Zaidi au ni ile ambayo bado haijulikani vizuri. Na saa nyingine inakuwa tovuti ambazo hazijulikani vizuri ni kwa sababu tu ni mpya. Au sababu zingine ni kwamba hawajaweza kujitangaza kwa njia sahihi ili kuweza kufikia ubora wa tovuti inayojulikana.

Kutokana na mtandao wa google. Tovuti ilioweza kujitangaza vizuri na kufikia kiwango cha juu. Huwa wanaiongezea kitu kinaitwa domain Authority (mamlaka ya kikoa). Hii ndio inaifanya tovuti kuwa yenye ubora kuliko tovuti zingine.

Na ikiwa data izi zinaweza kutafutwa kitaalam. Leo nimewaletea listi inayoonesha tovuti zenye mauzo mazuri ya Iphone. Na zingine zikiwa na domain authority nzuri kuliko nyingine.

Kumbuka alama hii(_) inawakilisha dot(.).
1. JIJI_CO_TZ

Jiji ni tovuti nzuri sana pale inapukuja kwenye uhitaji wa simu za iphone mpya na zilizotumika(used).
Tovuti hii ya jiji inakupa urahisi wa kuweka bidhaa zako. Na kuziuza online ukiwa na uhakika kuwa zitafikia watu wengi na zitaonekana vizuri mtandaoni. Urahisi niliouona kwenye tovuti hii ni kuwa ina uwezo wa kukuunganisha na muuzaji. Ili muelewane nae vizuri kwenye sala la bei na uwezekano wa bidhaa io kukufikia. Mimi pia ni moja wapo wa watu walioshawahi kutumia tovuti hii. Na nilipata matokeo mazuri sana.

Baada ya kuyafahamu hayo nilijua pia tovuti hii ndio ina kiasi kikubwa cha watu. Ambao wanaagiza bidhaa za iphone kulinganisha na tovuti zingine.

Na kupitia data izo mnaweza mkaona kuwa kuna umuhimu wa kutumia tovuti ya jiji. Ili kuanza kuweka bidhaa zako na ziwafikie watu wengi Zaidi.

Lakini pia pale ambapo inakubidi kuweka bidhaa nyingi Zaidi na za aina mbali mbali. Kuna Tovuti yetu ya sokokuuonline.co.tz ambayo itakuwezesha kuweka bidhaa nyingi Zaidi na inawataalamu wa kutosha waliopo tayari kuhakikisha bidhaa zako zinafikia watu wengi Zaidi. Anza leo kwa kutembelea tovuti yetu ya sokokuuonline na kuwasiliana nasi. Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali mwenye bidhaa za aina zote.

2. PHONEAQUA_COM

Hii ni tovuti yenye simu za aina zote. Na mara nyingi kutokana na uzoefu wangu wa kuitumia tovuti hii. Nimeona ni tovuti yenye chaguzi(options) nyingi Zaidi za kufanya manunuzi ya simu. Kuliko tovuti zingine nyingi ambazo nimeshawahi kuzitumia. Kwa kupitia tuvuti hii unaweza ukachagua bei ya simu unayotaka. Na ukaletewa uchaguzi wako wa simu kutokana na bei unayotaka. Uchaguzi huu unaifanya tovuti hii iendelee kupendwa kila siku na kupata watu wengi Zaidi.
Kutokana na kujifunza kupitia tovuti hii. Tumekuja na sokokuuonline_co_tz. Ambayo ni tovuti itakayo kurahisishia uwekaji wa bidhaa zako na zikafikiwakiurahisi Zaidi na watu wengi.
3. TIGO_CO_TZ/PHONES

Kama ulikuwa haujui pia tovuti ya tigo ni wauzaji wazuri wa simu za mkononi. Ikiwemo hadi simu za iphone. Na kwa wale waliokuwa na hofu na mitandao mingine. Tigo ni mtandao wa kuaminika nani mahali pa uhakika pa kununua simu yenye ubora. Pia tovuti ii wana njia rahisi kabisa ya kufanya mauzo. Kutokana na uzoefu wangu wa kutumia tovuti hii. Huwa wanatumia duka la karibu lilopo karibu na wewe ukishaagiza simu unayotaka. Wanakuletea na unaenda kuchukua kwenye duka la karibu na mtaa wako.

Ikiwa ni moja ya njia nzuri sana na ya uhakika wa kufikishiwa bidhaa zako. Pia sokokuuonline_co_tz tunatumia njia nzuri Zaidi. Pale ambapo mteja atahitaji ameagiza bidhaa ikiwemo simu ili kumfikia. Maana tumejifunza pia kutokana na hawa waliotutangulia. Kwa wale wanaohitaji kuweka bidhaa mbalimbali mtandaoni sokokuuonline_co_tz tupo kwa ajili yako.

4. MOBILEWITHPRICES_COM

Kutokana na uzoefu wangu hawa ni watangazaji wazuri sana wa bei za simu. Na sio tu bei bali na taarifa nyingine nyingi kuhusu simu io. Wakiwa kama namba 4 mtandaoni. Hii inaonesha kuwa wanauwezo mzuri wa kujitangaza na watu wakafikia bidhaa zao. Tujue kuwa si kitu kirahisi mtu kufikia bidhaa zako ukishaziweka mtandaoni. Kuna njia ya kuanza kujua watu wanitafuta jwa kupitia maneno gani. Na kutumia maneno yale kwenye bidhaa zako.

sokokuuonline_co_tz tuna timu ya wataalamu wa kufanya mauzo mtandaoni. Waliobobea na wanaojua namna ya kutangaza. Bidhaa yoyote utakayowapelekea ili iwezekufikia umma.
Tembelea tovuti yetu ili uanze kuweka bidhaa zako leo.

5. ZOOMTANZANIA_COM

Nadhani hawa ndio watu wengi sana mnakutana nao kilasiku. Pale tu unapotafuta bidhaa google maranyingi hawa ndio wanatokea. Kwa kuweza kuonekana sana google, pale tu ambapo unahitaji bidhaa mbalimbali. Zoomtanzania wameonesha uwekezaji mkubwa kwenye kujitangaza kwa kupitia njia zinazowawezesha kujulikana Zaidi google.
Njia izi zote zipo na zinasomwa ili kuwezesha. Bidhaa zako zisikae tu ndani ya tovuti. Bali zianze kuwa zinaonekana vizuri google na watu wengi. Ili uanze kufanya mauzo. Na kama ni kwa mara ya kwanza wewe kama mtu unaetaka bidhaa zako zionekane Zaidi mtandaoni. Karibu sokokuuonline_co_tz. Ili uweze kuweka bidhaa zako na wataalam wetu watahakikisha zinafikia watu wenye uchu wa kuzinunua.

6. MOBILEPRICEALL_COM

Huu sio mtandao unaojulikana sana. Na pengine sio wa mtanzania lakini tumejifunza kutokana na namna wanavoweza kujitangaza na bidhaa zao kufikiwa na watu wengi. Endapo kama watu hao watakuwa wana search kwa kupitia google. Tovuti hii ina simu aina nyingi, na inauwezo wakuweka hadi simu toleo lijalo. Ambapo hii inaongeza sana watu kufikia bidhaa kwenye tovuti hii kabla wengine hawajaiweka. Izi zote ni njia za matangazo na ushindani mtandaoni.
sokokuuonline_co_tz tumejifunza njia zote izi ili kufanya wale ambao watajiunga nasi kuweka bidhaa zao. Wawe na uhakika kwamba zitawafikia watu wengi.

7. TZ_LOOZAP_COM

Hawa ndio wale wanaongoza Zaidi kuliko mitandao mingine. Katika swala zima la kufikiwa na watu wengi. Nikimaanisha kuwa wana mamlaka ya kikoa kubwa kuliko wengine. Kama utakavoona hapo kwenye picha kwamba wao ndio wana mamlaka ya kikoa yenye 55, ambayo ndio kubwa kuliko wengine wote. Lakini Pamoja na kuwa na mamlaka ya kikoa kubwa. Bado wana onesha kuwa wa saba kwenye ushindani. Maana yake ii imetokana na kuwa wana bidhaa chache kulinganisha na wengine. Lakini wanauwezo mzuri wa kujitangaza. Tukumbuke kuwa sokokuuonline_co_tz ndio tunaanza na tunazijua njia zote za kuongeza mamlaka ya kikoa ye tovuti yetu ili atakae kuwa mteja wetu atupate kiurahisi. Na pia atakae weza kuweka bidhaa zake aweze kupata watu wengi Zaidi.

8. 101PRICES_COM/TANZANIA/

Hawa nao ni wauzaji wazuri sana wa simu za iphone. Na wanauza simu za aina mbalimbali. Kutokana na uzoefu wangu katika mtandao huu. Ni kwamba wao ndio wanakuonesha bei nzuri Zaidi. Na maranyingi itakubidi usafirishiwe simu yako hadi ikufikie. Lakini pia nao wanaonesha kuwa na uwezo mzuri wa kujitangaza. Ndio maana ata kama bado hautakuwa na uamuzi wa kununua kwa kupitia tovuti yao. Bado utakutana nao mara kwa mara mtandaoni.

Baada ya kuyajua hayo sokokuuonline_co_tz itakuhakikishia sio tu kufikia bidhaa kwa urahisi bali nakuinunua. Na kuhakikisha inakufikia.

9. MOBILE57_COM

Hawa nao ni kwa ajili ya matangazo ya simu tu. Na pale mbapo mteja anataka kununua huwa wana mpeleka kwenye tovuti nyingine. Lakini kuna saa pia wanauza.Ila kutokana na nlivotumia mtandao huu. Kikubwa ni kwamba wapo kwenye ushindani wa soko la simu za iphone Tanzania. Na wanajulikana. Kwa kujua kuweza kuongeza njia za kuonekana na watu wengi mtandaoni/online.
Sokokuuonline_co_tz ni mtandao mpya na tumejifunza mengi. Katika swala zima la kuhakikisha bidhaa zako. Zitakuwa sio tu kwenye tovuti yetu bali kiganjani mwa watu wengi Zaidi.

10. TANZANIA_MYMOBILEMARKET_NET

Hapa sio tu mtandao wenye taswira nzuri. Bali ni mtandao wa uhakika kabisa. Ulioweza kujitangaza vizuri na unakupa uhakika wa kupata. Taarifa nzuri inayotokana na simu unayotaka kununua.

Mwisho

Watu wengi wanatafuta njia mbali mbali. Za kuweka bidhaa zao mtandaoni ili zianze kuonekana.
Lakini huwa wanatumia mitandao ya kijamii. Na mitandao mingine ambayo hawana uhakika kuwa itawaletea watu wa kutosha. Sio tu wanaotoka kwenye group flani la facebook bali wanaotoka sehem mbali mbali. Na wenye uhakika wa kununua bidhaa zako.

Unaweza kuwasiliana nasi leo sokokuuonline_co_tz kwa namba 0756591943. Na ukawa moja ya wauzaji mtandaoni bora wa bidhaa kama iphone na bidhaa nyingine nyingi. Pia ukapata wateja wa matabaka mbali mbali.

ubberSuggestData1.PNG
 
Au tutembelee https://sokokuuonline.co.tz ili uanze kuweka bidhaa zako online. Na tunakuhakikishia kuwa bidhaa zako zitafikiwa na watu wengi. Kulinganisha na mitandao yote nlioitaja hapo juu. Wewe kama una duka kubwa ambalo bado haujawaza kutangaza bidhaa zako mtandaoni. Tunakukaribisha sokokuuonline.co.tz ndio mahali penye watu wenye ujuzi wa hali ya juu.0756591943
 
Kupatana ndio Habari ya Mjini.
Dah haiwezekan mtu ku post bidhaa ya wizi mleee? maana nimesoma TOR zao jamaa wamejilinda sanaa wao hawaja walinda wanunuzi

Kuna ka simu nimekaona mle najifikiria kununua nikasema nipitie TOR, KISHA NIULIZE EXPERIENCE WALIO WAHI KUNUNUA ITU THROUGH KUPATANA
 
dah haiwezekan mtu ku post bidhaa ya wizi mleee? maana nimesoma TOR zao jamaa wamejilinda sanaa wao hawaja walinda wanunuzi

kuna ka simu nimekaona mle najifikiria kununua nikasema nipitie TOR , KISHA NIULIZE EXPERIENCE WALIO WAHI KUNUNUA ITU THROUGH KUPATANA
Sahivi natumia FB Groups nikitaka kununua simu.
 
Au tutembelee https://sokokuuonline.co.tz ili uanze kuweka bidhaa zako online. Na tunakuhakikishia kuwa bidhaa zako zitafikiwa na watu wengi. Kulinganisha na mitandao yote nlioitaja hapo juu. Wewe kama una duka kubwa ambalo bado haujawaza kutangaza bidhaa zako mtandaoni. Tunakukaribisha sokokuuonline.co.tz ndio mahali penye watu wenye ujuzi wa hali ya juu.0756591943
this link not.available
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom