Tourism warden KINAPA,Mathew Mombo anaua soko la utalii KINAPA.

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Huyu jamaa amekuwa na tongotongo la zege limetanda kwenye mijicho yake na kutu nene iliyotanda kwenye ubongo wake ndio inamfanya afanye analofanya.
Huwa anafikiri kila anachosema ndio sahii,he always shout but not urgue. Kuliandaliwa Tour guide training,cha ajabu walimu wanaambiwa wachanganye kiswahili na kingereze,pili wanaendeshwa na tour operators.
Hawaja set standards of who qualify to join in training as the result confussion zinatokea.
 
Kuwa Tourism Warden sehemu nyeti kama Kilimanjaro unatakiwa uwe na sifa za ziada mbali na shule kama kuwa mwenyeji wa asili wa sehemu yenyewe,sasa huyu hana uasilia wa Kilimanjaro ni lazima achemke,kwani hakuna nanalojua zaidi ya shule yake alichofundishwa na mwalimu wake.siyo makasa yake ana mawazo mgando kuwa utalii ni kupanda mlima Kilimanjaro tu kumbe maisha ya wenyeji wanaozunguka Mlima ni muhimu zaidi ya kupanda Mlima natumaini na yeye amegeuka mtalii.
 
Nashukuru sana mkuu "HOMOSAPIEN" kuwa unamjua huyu jamaa,amekua kama roboti hataki kubadilika.
Hako ka certificate kake ka mweka kanampeleka race kweli kweli.
 
weka elimu yake hapa Tafadhali na cv yake tusije tukawa tunamlaumu mtu kwa kumuonea bure.
 
Back
Top Bottom