Tourism investor spends 745 hours following up government procedure in a year | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tourism investor spends 745 hours following up government procedure in a year

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Orton, Aug 14, 2012.

 1. O

  Orton Guest

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BARRIERS TO DOING BUSINESS
  A tourism investor 745 hours in a year(4 months) following up on government procedures.He/she uses 2.9mTsh-.Anyone can start tourism business but the government even put the operating license at $2000.

  This was one of the highlights on an a ITV ‘Nguvu ya hoja' programme which took place recently,where a PCCB Official who took part in the debate,said that longer procedures in doing business are an incentive to corruption, a vice noted in a recent Business Leaders Perception report as being one of the top four barriers to business in Tanzania.

  An entrepreneur who was not immediately identified also said that financial institutions tended not to give credit to start ups,thus also being a barrier to thriving business. He also noted, in registration of products, one has to go to Brela, open a company, register each product at 50,000 Tshs, then go to TBS, then TFDA,…which is a long process.

  Mr Akida Mwegelwa of CTI, said that business barriers would make Tanzanian commodities not compete on external markets.

  "In such a case, we will have to scale down production," he said
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Sijui tumerogwa?
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nimepiga mahesabu hapa nikaona 745 hrs ni 31 days and not 4 months.

  Either way hiyo ni muda mrefu saana. Manake mwezi mzima huyu mtu anahangaika huku na huko kutafuta vibali.

  Nilisikia wakati fulani hawa jamaa wa TIC wanajinadi kwamba lengo lao wawe ONE-STOP-SHOP lakini nadhani zilikuwa porojo tu maana miaka inakatika hamna kitu!
   
 4. J

  JahGun Senior Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kipindi fulani wakati wa Samwel Sitta walifanya hivyo ila baade wakaendelea na madudu yao naona waliletewa zengwe wanazuia ulaji wa watu.
   
 5. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapa ni kukosa hekima yakuchagua vipau mbele (priorities), mazingira mazuri ya uwekezaji sio kusamehe kodi miaka mitano. Ni kushughulika na mambo kama haya BRELA, TRA, TBS, TFDA.... kua kituo kimoja chenye ufanisi.
  [​IMG]Worldwide, 125 economies implemented 245 reforms
   
 6. H

  Helios JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  mkuu wamepiga masaa 8 ya kufanya kazi kwa siku 22-23 za kazi kwa mwezi. kwa miezi minne inakaribia hiyo figure. kiukweli bila kuboresha mazingira ya kuanza biashara na kufanya biashara hatutaweza kuinuka kiuchumi
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tena siku hizi ndio yamepunguzwa. Wakati wa Nyerere, subutu, utaanzia wapi? hata ukitaka kusafiri ukagongewe passport TRA, uende BOT ukapewe kibali cha kununua tiketi, ukimaliza uende tena ukapewe kibali cha kununuwa fedha za kigeni, ukimaliza uende benki ya foreign branch ukangoje pesa za kigeni, ukimaliza kama ulikuwa ilikuwa msimu wa mananasi unajikuta uko msimu wa embe, sijui hizo bidhaa ungeziuza wapi?

  Alhamdulillahi tumetoka mbali. Nasikia juzi imefunguliwa one stop center ya badarini, hakuna kuzunguka tena na madocuments.

  Huyo mwekezaji wa nje hajui kama kuna TIC? ambayo ni one stop center kwa huduma zote, TRA, BRELA, Immigration, na zinginezo kwa wawekezaji wa nje na ndani.

  Ingawa kweli process inabidi ipunguzwe sana, bureaucracy imezidi lakini kuna afadhali.
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Zomba,

  Hiyo ya ONE STOP CENTRE ni mbwembwe tu in reality mambo hayako hivyo.

  Tunatakiwa kujilinganishe na wenzetu kwa sasa sio kujilinganisha na zama za mwalimu.
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huo ndio utamaduni wa kufanya shuhuri Tanzania!! Nenda ofisi yeyote ile mfano halmashauri ya Kinondoni na unataka upate hati ya kiwanja ili uanzishe biashara; hapo utapewa mlolongo wa masharti ya kutimiza toka mihuli ya katibu kata ,surveyor, ofisa Ardhi na vitu vingine chungu nzima ambavyo wao wanatakiwa wakutayalishie lakini watakuambia nenda kalete, yote hiyo ikiwa ni kuweka mazingira magumu ya kupata hati ili mhusika apewe rushwa!! Haya mambo yanatendeka na viongozi serikalini wanajua lakini hawayakemei kwa dhati; kila kitu ni mzaha mzaha tu huku wananchi wanaumia.
   
Loading...