Jamesmkude
Member
- May 18, 2015
- 60
- 69
good job kikwete
HahahHivi Kikwete yuko tourist board?
Haya yanaitwa mahabaHivi Kikwete yuko tourist board?
Wanajitahidi, nimeanza kuona hayo matangazo toka msimu wa mwaka jana wakaze buti maana biashara matangazo, Twiga peke yake nyuma ya bombadia ajitoshelezi jitihada za ziada ni muhimu pia.Tumeona Sunderland wakitangaza na kuhimiza watalii kutembelea Tanzania. Wadau tujadili kuboresha hatua hii.
Ile Bombardier yote wangei-pimp tu kwa michoro ya tinga-tingaWanajitahidi, nimeanza kuona hayo matangazo toka msimu wa mwaka jana wakaze buti maana biashara matangazo, Twiga peke yake nyuma ya bombadia ajitoshelezi jitihada za ziada ni muhimu pia.
Nawaonea huruma sana Leicester wanachonishangaza game za Uefa hawazingui.Na leo hao wamempiga Leicester goli 2
Au kama vipi wawaweke wale Big Four ambao kama sikosei ni Twiga, Simba, Nyati na Faru (nakubali kurekebishwa)Ile Bombardier yote wangei-pimp tu kwa michoro ya tinga-tinga