Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Kuna watu wanauliza maswali na nimeamua Ku share huku labda yatawasaidia na wengine. Swali linaloulizwa ni kuwa km nalima nyanya ambazo zinachukua kuanzia miezi 2.5 - 4 mpaka kuvuna na kuanzia kupata pesa, sasa ktk kipindi nasubiria kuvuna, je napataje pesa za kujimu?

Hili swali nahisi ndio linalotisha watu kuingia ktk kilimo kwa kuwa unachelewa kuanzia kupata pesa.

Jibu langu ni kuwa wakati unasubiria uanze kuvuna nyanya, unaweza Lima mazao ya muda mfupi lkn yenye uzao mkubwa na yanayovumilia mgonjwa. Mi napendelea matango lkn nimegundua Spinach INA soko zuri muda wote. Spinach huchukua wiki 2 - 3 kuvuna na kuanzia kuuza

Mfano: Unapanda spinach ktk mistari. Tenganisha mistari yako futi 2 kutoka mistari na mstari kila mstari una futi 10. Kulingana na ni mistari mingapi unaweka lkn kila mstari utakupa kilo 3.5 ambazo ni takriban mafungu 10 kulingana na sina ya mbegu. Sasa piga hesabu eneo lako lina ukubwa gani na utaweza mistari mingapi. Mfano km una eneo la sqm 21 utakuwa na mistari 14 hivyo x mafungu 10.

Mafungu 140 x Sh. 300 = 42000 kwa ka eneo kadogo hivyo baada ya wiki 3 tu. Hilo eneo ni 3 kwa 7

Hivyo km eneo lako ni kubwa basi utapata zaidi wakati ukisubiria mavuno ya nyanya hivyo kupata fedha wakati ukisubiria nyanya kuvunaa
 
Asante kwa ushauri
 
Tumeanzisha utaratibu mpya kwa wake wakulima Wa nyanya na matango. Utaratibu juu ni kusaidia wale wote waliojifunza kupitia kwetu ni kuwatafutia masoko ya mazao yao

Hivyo kwa wale watakaopata mafunzokupitia kwetu tutawasaidia kupatamasoko ya mazao yao
 
Nimekuelewa sana mkuu.. Nakutafuta kwenye hiyo namba uliyoweka hapo niweze kupata maelezo zaidi ili tufanye mambo mazuri ya kujiimarisha kiuchumi
 
Ngoja nikupe mfano. Tuseme unaishi katika nyumba ambayo kwa upande wa nyuma una eneo ambalo lina ukubwa wa upana hatua tano na urefu vile vile. Hivyo 5 x 5 = 25 square meter. Katika kila square meter 1 unapanda miche 4 hivyo x 25 ni miche 100. Kila mche unakupa kilo 15 yaani sawa na ndoo moja na nusu ya nyanya kwa mwezi. Bei ya shambani ukiamua kufanya mia tano x 15 ni sh. 7,500 kwa kila mche kwa mwezi. 7,500 x miche 100 = sh. 750,000 kwa mwezi. Je kwa miezi nane ya uvunaji itakuaje? 6,000,000. Na hii ni bila greenhouse

Je utaendelea kunyanyaswa na bosi wako ulipoajiriwa na kuendelea kumtajirisha mpaka lini?
Maelezo mazuri
 
l
Hayo masoko mnayowatafutia wakulima ni ya mkoa ganigani

Ni katika ile mikoa wanapplima nyanya mfano Mbeya, iringa, pwani, morogoro na hata ikoa mwingine. Sema si mikoa yote ya tanzania. Unaweza pigs nikakuelezea km na mkoa wako umo
 
Ok kuna watu wanauliza jina la mbegu ya matango ya muda mfupi inaitwaje. Inaitwa Farina Mix
 
Kwa ambae ashatumiwa fomula na biashara 2000 atoe ushahidi tusije tuma 20000 zikabebwa. ..mjini shule[/QUOTE

Mimi ni mmojawapo. Alinitumia documents zote muhimu, pdf na zingine video mpaka raha. Na akawa ananipigia kila baada ya muda fulani kuulizia kama nilifanikiwa kwenye project yangu.
 
Ok kuna watu wanauliza jina la mbegu ya matango ya muda mfupi inaitwaje. Inaitwa Farina Mix
Hiyo mbegu boss inafananaje na inapatikana wapi maana nime-google Farina mix sijaona hata kwa picha,pia naomba kujua inapatikana wapi na bei gani Note:Mi ni mteja wako na nilisha nunua formula yako mwaka juzi naomba msaada wako.
 
Inaitwa Darina Mix inauzwa kwa bei nzuri Na duka linaitwa BCS liko pale kkoo sokoni
 
Kwanza kabisa nadhani aliyekwambia gh hiyo inakaa miche mia nne amekudanganya. Huwa inakaa miche 300 ikiwa imejaa. Inategemea mbegu gani unatumia, km unatumia km hii yangu unapata ndo moja na nusu kwa mwezi ktk mche mmoja. 1.5 x 300 ni kilo 450 kwa mwezi x miezi nane ni kilo 3600

CORRECTION: ndoo 1.5 x 300 ni ndoo 450 kwa mwezi, x miezi 8 ni ndoo 3600

kwa hesabu za kaka Biashara:
Ndoo 1.5= 7500/= ndoo moja kamili ni 5000;
3,600 X 5,000=18m
 
...... kwamba mche mmoja ukupe ndoo kumi na mbili?!

utatumia agronomic practise zipi kufikia hilo lengo?
 
Swali la msingi hilo.. Isije ikawa ni taarifa za gh za uyahudi ambako kila kitu kuanzia joto, unyevu kny hewa (humidity), umwagiliaji, nk vinadhibitiwa electronically kwa mahesabu makali
 
Kuna mbegu nilipewa Na jamaa flani alitoka nazo Kenya ili niijaribu. Inaitwa Derado ni hybrid Na inakupa matango marefu Na mkubwa. Lkn pia haihathitiwi Na jua hivyo unapata matango marefu Na makubwa Na ya kijani kabisa

Mbegu hii ina uzao mkubwa sana kuliko mbegu zingine za hybrid nilizowahi kutumia

Km kuna anayehitaji ninazo paketi 3 tu. Kila paketi ni sh 105,000

Wasiliana Na mm 0758 30 81 93

Mbegu hii ni nzuri kwa kuongeza thamani ya mazao yako kwa kuwa matango yako yanakuwa hayana madoa Na rangi ile ya njano
nitakutafuta na mimi mkuu tuongee unishauri kitu.
 
Back
Top Bottom