Touchscreen firmware update failed (Samsung Galaxy Pocket)

Rutayuga91

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
449
249
kuna kipindi nili jarb kuchezezea simu yangu na kubaini kuwa kuna kitu wanakiita rooting!! nikaroot cmu!!
nikaona kuna kitu wanakiita custom ROM (unachange OS ya simu hata kuupgrade OS) nikatupi JellyBlast (same as Jellybean 4.1)
Ila bwana kuna cku nikaona 'touch screen firmware update' by dialing *#*#2663#*#* kisha nikahit update (Don't try this at home)
Ckuwa na net so nikahit home ili kwenda kuactivate net! ikawa ndo mwisho wa kuandroidika! touch haifany kaz mpaka leo!!
Nimejarb kuitibu ila solution iliyopo ni ya Samsung Galaxy Mini!!
kama kuna mbabe anajua namna ya kusolve tatzo hili anisaidie!!!

Nasisitiza usije ukadial hiyo code kwan watu wengi washaathirika na hiko kitu!!!!
 
Your phone is Dead mkuu,
.
Code ulizitoa wap mkuu?
Mbona hawakukupa Warning!
 
search how to start ur phone in recovery mode(something like that), connect it kwenye Odin(unaweza itafuta ukadownload), then tafuta a custom recovery(clockworkmod) for ur phone u flash it in, then flash a new ROM(custom) kutumia hyo custom recovery au tumia Odin ku flash a stock ROM ambazo unaweza uka download ...
I`ve done these things so much...
 
Clockworkmod tayar nnayo!!
Nishawahi kuiflash by ODIN mara kadhaa ila wapi!!
NIshaweka custom ROMS kama Jellyblast, Blackstar Xplode na Alexandra ila pia wapii!!
Kuna option flan hv inayoniwezesha kurun simu kawa computer inaitwa 'androidscreencat' ila nkjarbu kuupdate ten inanigomea!!
by the way thanx kwa ushaur wa kwanza!!
 
Your phone is Dead mkuu,
.
Code ulizitoa wap mkuu?
Mbona hawakukupa Warning!
Ukiweka Jellyblast custom ROM kuna sehemu itakupa secret codes kama kujarb vibration, sound na vinginevyo ving tu!!
Warnign pekee iliyowekwa ni kuwa 'don't turn off ur phone'
Ila kuhusu simu kufa ckubaliani na wewe coz washkaji wenye Galaxy MIni washalisolve hilo tatizo!! Pia ukiwa mtabe si vema kukubali mambo kirahisi kihivyo!!
 
Hapo chakufanya ni ku UNROOT kwanza then uje uiROOT tena ndio utatatua shida yako,
Download STOCK ROM(OFFICAIL) ya simu husika (check version kwenye baseband ama kernel)
Use odin kama kawaida ila tick boxes ya Auto reboot na F-reset time tu,(kama uli root mwenyewe procedure zinazofuatia ni same)
 
Ukiweka Jellyblast custom ROM kuna sehemu itakupa secret codes kama kujarb vibration, sound na vinginevyo ving tu!!
Warnign pekee iliyowekwa ni kuwa 'don't turn off ur phone'
Ila kuhusu simu kufa ckubaliani na wewe coz washkaji wenye Galaxy MIni washalisolve hilo tatizo!! Pia ukiwa mtabe si vema kukubali mambo kirahisi kihivyo!!

ngoja atupe feedback mkuu, tujue kip ni right, ikikubali me ntaitoa galaxy yangu niliko ificha!
Mana nilifanya kitu kama hiki.
 
C++,galaxy yako ilifanyaje!?,
Naweza iponyesha kama ikiwa ime SOFT BREAK,

Ni elezee ulichafanya mpaka sasa na ulipogotea
 
nili jail break mkuu kwa ku2mia Chainfire's CF-Root
package.
.
 
hata ku boot ina stack kabisa mkuu!

ukiwasha inaandika nini ama inaonyesha nini!?(mostly ukisha iflash hata kuchaji inashindwa tambua unapo plug charger),
so make sure unaichaji hiyo betri separately alafu download drivers bila kutumia kies(na ukiwa una unroot usi run kies hua inaingilia accidentaly)
 
hata ku boot ina stack kabisa mkuu!

Download stock rom from sumsungis.com,sa hivi wanashida kidogo hotfile wamefungiwa so wanaamisha kwenda servers zingine za terafile.com,
ukipata una extract kawaida then through PDA unaiweka kwenye simu inaweza chukua mpaka dk 10 hata kama haionyesh kitu labda yellow triangle au phone-triangle - pc mark
 
shukrani mkuu nta fight!
 
Hi ni error mkuu nashangaa na fanya mishe zangu najikuta narudi tena huku na ina ji auto reply yenyewe, hata sielewi, sijui ni browser yangu au vg
.
Hata hapo juu nilipo delete ilikuwa ni auto reply sijui kwann
 
Nami na shida hiyo bt siku root nilikutana na izo code nikatupia ikaleta warning "dont turn off" sa simu haikuwa na chaji ikazimika mpaka leo touch haifanyi kazi ipo tu
 
Kale katatizo kalitatuliwa kwa kubadili screen. Mtaalam alisema heunda capacitors zilikufa!!
 
Back
Top Bottom