Rutayuga91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 449
- 249
kuna kipindi nili jarb kuchezezea simu yangu na kubaini kuwa kuna kitu wanakiita rooting!! nikaroot cmu!!
nikaona kuna kitu wanakiita custom ROM (unachange OS ya simu hata kuupgrade OS) nikatupi JellyBlast (same as Jellybean 4.1)
Ila bwana kuna cku nikaona 'touch screen firmware update' by dialing *#*#2663#*#* kisha nikahit update (Don't try this at home)
Ckuwa na net so nikahit home ili kwenda kuactivate net! ikawa ndo mwisho wa kuandroidika! touch haifany kaz mpaka leo!!
Nimejarb kuitibu ila solution iliyopo ni ya Samsung Galaxy Mini!!
kama kuna mbabe anajua namna ya kusolve tatzo hili anisaidie!!!
Nasisitiza usije ukadial hiyo code kwan watu wengi washaathirika na hiko kitu!!!!