Bila Mourinho Ligi hainogi bhana , mpira ni amsha amsha , makocha wengine hawana amsha amsha kabisa , wamekaa tu kama makondoo, ligi Inakuwa imepooa, na pia inakuwa ligi ya kichoko kweli, japo jamaa hajui mpira Ila namkubali saaana , ana create tension na kumtia adui hasira , game inakuwa hot Sana, aliichangamsha akili ya Ferguson, akaenda akawazindua Italy alaf akawaamsha Spain , uwepo wake kwenye ligi ni mhimu , vituo vya television vinampenda Sana , ukitafuta wacheza gambling wakubwa Duniani basi huyo jamaa anaongoza, fundi wa kuotea na majigambo.
Huku mtaani kijiwe chetu Cha mpira watu wamejaaa wanamcheki mou.whu vs Spurs.vijana wa Spurs wanajituma sana pia mou ana mashabiki sana naona Spurs ikichota mashabiki timu zote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.