Tottenham kwa mara nyingine tena yashindwa kuipiku Arsenal

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,690
239,251
Ni baada ya kumaliza vibaya PREMIER LEAGUE kwa kutandikwa mabao 5 - 1 na vibonde Newcastle United , huku mahasimu wao wakiichapa Aston Villa kwa mabao 4 - 0.

Spurs ilikuwa inahitaji point moja tu kujihakikishia nafasi ya pili.

Kushindwa kwake kumesababisha arsenal ipande mpaka nafasi ya pili baada ya kjikusanyia point 71.

Ikumbukwe kwamba chini ya Arsene Wenger , arsenal haijawahi kumaliza chini ya Tottenham .

Poleni sana Spurs.
 
ImageUploadedByJamiiForums1463346856.378056.jpg
 
Na ikumbukwe kuwa iliongoza lig last years 3 months February,March&April lkn walimaliza lig wakiwa top 3
 
Taarifa za chinichini ni kwamba kwa jambo hilo tu mashabiki maandazi wa arsenal wameachana na ule mpango wao " muhimu " wa kumtimua Wenger .
 
Mimi ni Arsenal damu, ila niko kwenye mgomo kuingia uzi wa Arsenal na kuchangia mpaka Wenger aondoke, hivyo bado niko na msimamo wangu kuwa WENGER OUT, ndo arsenal itarudi ktk ubora wake!
ILA LICHA YA HIVYO, NIMEWAHI SEMA MARA KADHAA KTK UZI WA ARSENAL KUWA TOTTENHAM HOTSPURS BADO HAITOWEZA KUMALIZA JUU YA ARSENAL LICHA YA WENGER KUWAPO, hawawezi maliza juu ya Arsenal, ni TUSI kwa Spurs kumaliza mbele ya Arsenal. Kama Spurs ikimaloza ya tatu, ujue arsenal iko juu, kama Spurs ikimaliza ya pili, basi HAMNA JINSI, arsenal atakuwa bingwa, haijalishi arsenal wako wabovu kiasi gani.
 
Ikumbukwe pia kwamba arsenal haijawahi kugusa top 2 tangu 2005 .
Ni kweli, ila hakukuwa na namna nyingine kama Spurs kawa wa tatu, arsenal lazima awe juu, spurs akiwa wa pili itabidi arsenal awe wa kwanza! Ni mwiko kumaliza juu ya arsenal kizazi hiki.
LONDON IS ALWAYS RED, so is North London.
 
Mimi ni Arsenal damu, ila niko kwenye mgomo kuingia uzi wa Arsenal na kuchangia mpaka Wenger aondoke, hivyo bado niko na msimamo wangu kuwa WENGER OUT, ndo arsenal itarudi ktk ubora wake!
ILA LICHA YA HIVYO, NIMEWAHI SEMA MARA KADHAA KTK UZI WA ARSENAL KUWA TOTTENHAM HOTSPURS BADO HAITOWEZA KUMALIZA JUU YA ARSENAL LICHA YA WENGER KUWAPO, hawawezi maliza juu ya Arsenal, ni TUSI kwa Spurs kumaliza mbele ya Arsenal. Kama Spurs ikimaloza ya tatu, ujue arsenal iko juu, kama Spurs ikimaliza ya pili, basi HAMNA JINSI, arsenal atakuwa bingwa, haijalishi arsenal wako wabovu kiasi gani.
Mlikuwa mnasaka ubingwa wa england au mlikuwa na ligi na Tottenham hotspurs???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom