Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,560
- 188,751
It's North London Derby day
Kicks off : 18:30
Kicks off : 18:30
Trippier Ameondoka Kutokana Na Hakukuwa Sawa Kati Yake Na Kocha Ukiachana Na Sababu Za Msimu Uliopita Ni Moja Ya Mchezaji Alikuwa Na Msimu Mbovu Akiwemo Delle.Kocha wenu alikosea sana kumuacha Trippier aondoke
Sasa mpo na Kyle-Walker Peters dogo ambae kupiga cross uwezo mdogo
Watu kama Eric Lamella na Moura wanatakiwa kutokea benchi na sio kuanza, Winks na Sissoko ubunifu mdogo mno kama sio hawana kabisa
Za chini chini zinasema walitibuana nini na Kocha?Trippier Ameondoka Kutokana Na Hakukuwa Sawa Kati Yake Na Kocha Ukiachana Na Sababu Za Msimu Uliopita Ni Moja Ya Mchezaji Alikuwa Na Msimu Mbovu Akiwemo Delle.
Ndio Maana Hata Transfer Ilifanyika Kama Kwa Kushtukiza Sana Hiyo No. Wameachiwa Madogo KWP na Foyth.
Hawa Madogo Wanahitaji Muda Tu Japo Ndio Changamoto.
Lamela Ni Moja Ya Mchezaji Anaependa Sana Ku-hold Mpira Ni Mchezaji ambaye Afanyi Maamuzi Ya Haraka Lucas Moura Accuracy Ndogo Sana Japo Na Ana Kasi. Ila Wote Hawa Hawa-deserve Kuanza
Tumekupokea mkuu VP matokeo ya Leo unayaonajeWakuu nipokeeni nami ni mnazi mkubwa wa tmu yetu pendwa ya spurs
Wakuu nipokeeni nami ni mnazi mkubwa wa tmu yetu pendwa ya spurs
niaje wana spurs
Kama mshabiki wa ulaya niliumia Sana spurs kufungwa na bayernmunichen ,yaani wazee wanashindaje,nilichoka sana nimemkumbuka MOUSA Dembele aisee
Daaah yanasiktsha sna mkuu sjui tatz ni nn ndan ya tm