Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Poleni sana wakuu, na hongereni kwa kufika fainali.
It's a learning, take that.
It's a learning, take that.
Walikua na uwezo mkubwa wa kuchomoa lile goli hata ya mapumziko......but tot ni underdog akaze mwakani anaweza beba
Supu inasemaje mzee?Chinjeni Jogoo tunywe supu.
Hilo jembe sana Hongereni
Uzeni magarasa kama Lamela na Ben Davies
Kwa Ben Davies bora hata KWPBen Davies ni mtu muhimu sana maana danny rose muda wowote anaweza kuondoka. Na ndio beki wa kushoto