Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,492
- 188,642
Hakika Ila Levy Kwa Sasa Japo Amejitutumua Kama 140ml Inasemekana Kimekwisha Toka Za Usajiri Ila Naona Kabisa Watu Wenye Fedha Zao Wakiamuq Popote Pale Wanapiga.Levy na Ed Ni moja ya vichaa walio katika soka.
Mmoja anaahueni Bwana Levy.
Uwezo wa Pochettino Upo wazi sasa kama vazi la kahaba...kama hawatajali sana falsafa wana Barcelona naona wananafasi ya kumnyakua au Italia giant's.
Naona hapa boss levy atapambana kihuni na wachukuzi wa Mwalimu.
UEFA kuna shabiki niliwaambia hawa watoto wa Ajax japo na wazee wamo (Tadic)wahafui dafu,WanaMoto wa mabua kilichowakuta Onana atasimulia kwao dunia ya Tatu.View attachment 1099852View attachment 1099854
Watoto Ajax Toka 1st Leg London Pale Walikuwa Wanakufa Sema Ile Siku Alikosekana Main Man Kama Sticker ambae alitakiwa awe anafanya maamuzi ya mwisho. Ndio Maana Kulikuwa Na Hakuna Threats Nyingi Kwa Game Ya Kwanza.
Ni Kweli Ajax Wanajitahidi Pia Wanateam Bora Kwa Hivi Karibuni.